Dah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.