Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao.
MAPOVU ruksa...
MAPOVU ruksa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unamaanisha timu yenu ya Liverpool itafungwa goli 5?Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao.
MAPOVU ruksa...
Lishabiki la arsenal hili...Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao.
MAPOVU ruksa...
kwenda namba 2-2Hivyo vichekesho tunatuma kwenda namba ngapi?
hahaha endelea kujifarijiUmeamua kuuchana mkeka kwa mikono yako
Hapo ushaibiwa pesa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Naamini hapo ulipo usingizi unakukamata muda si mrefuHa haaa haaaaa..hii mikeka itawafanya muwe mazombi..!! Hapo hakuna nyota wala jua unawaza mkeka tu..na kwa maombi yako lazima huo mkeka uuchane..!!! Stock city anakufa 3 kwa bashite. Km hutaki mark my word...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimerudi kwenye uzi wewe je?Usiutelekeze huu uzi baada ya game