Stoke City ataushangaza ulimwengu leo kwa kumfunga Man Utd

Stoke City ataushangaza ulimwengu leo kwa kumfunga Man Utd

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao.
MAPOVU ruksa...
 
Umeamua kuuchana mkeka kwa mikono yako

Hapo ushaibiwa pesa

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Angesema AARON ningeamini, wengine hakuna uhakika
 
Ha haaa haaaaa..hii mikeka itawafanya muwe mazombi..!! Hapo hakuna nyota wala jua unawaza mkeka tu..na kwa maombi yako lazima huo mkeka uuchane..!!! Stock city anakufa 3 kwa bashite. Km hutaki mark my word...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hapo ulipo usingizi unakukamata muda si mrefu
 
Back
Top Bottom