Stone Cold Steve Austin unamfahamu vipi?

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Stone cold Steve Austin WWE unamfaham vipi tupe historia yake

Nmekuwa na ombwe la kutaka kumjua Kwa undani mwana mieleka huyu kwani tangu utoto wake inawezekana ina records mbaya sana hata mtaani kwenye jamii yake

Sauti yake huwa inanikera sauti mbaya mbaya
 
'the man who revolutionized wrestling industry' stone cold Steve Austin, huyu jamaa ni Zaidi ya mwanamieleka!
 
Katika wapiganaji wa mieleka huyu mshikaji nilikuwa namuelewa sana. Tyson alikiona cha moto kwa uyu mbabe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…