Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Stone cold Steve Austin WWE unamfaham vipi tupe historia yake
Nmekuwa na ombwe la kutaka kumjua Kwa undani mwana mieleka huyu kwani tangu utoto wake inawezekana ina records mbaya sana hata mtaani kwenye jamii yake
Sauti yake huwa inanikera sauti mbaya mbaya