Stop dating mentally broke girls

Taking care of someone doesn't mean financial handing out.kuna mstari kwenye kitabu imeandikwa tuwape hela hivi? Au mnakitabu chenu [emoji23]
Toa hela wee acha porojo zako hapa.
 
Issue sio kutoa matumizi lakini are they mentally stable ata kujiongeza!!?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Mimi nadhani ndege wafananao uruka pamoja. Ukiona mwanaume ka date hao unaosema ni mentally broke girls nae jua yuko vile vile.

Kwani yeye haoni kwamba sio type yake?

Nahisi huu uzi umewalenga wanafunzi coz sidhani mwanamke ana kazi anaomba vitu vidogo kama vocha au nauli.

Yes nauli ya ndege naomba.😂😂lakini mbona wanaume siku hizi ni waelewa nauli wanatoa hata kabla hatujawaomba.

Mtu unajua mfano nakufata dar, na nimekwambia sipandi basi sasa unategemea nini?

Mimi nadhani kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake.

Kazi ya mwanaume ni kuhudumia.

Note: mwanamke plz usimuombe mwanaume pesa. Wewe tengeneza mazingira akupe mwenyewe.
 
From what i know kwa mwanaume usipokua na hela ndiyo utaanza kuchungulia hela ya mwanamke sijui asaidie hichi na kile noo grow up dude, kuwaza hivi ni kwamba hupendi kuombwa hela na ni nadra sana kuona mwanaume mwenye hela kumsimanga mwanamke asie na hela, kulalamikia vitu kama hivi ni kama game limekushinda, ukishindwa kuhudumia acha kutafuta sio lazima kila mtu awe na mwanamke,

hate the game not the player
 
Unatumia kinywaji gani?
 
Kweli basi iwe 80/20 japo yaani awe na mchango hata wa mawazo siyo zero ziro na mawivu ya kijinga jinga tu !!!!!
 
Well said
 
Please, lets keep in touch. You are my dream hubby..

I love u too[emoji7][emoji3059][emoji3059]

[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
 
Please, lets keep in touch. You are my dream hubby..

I love u too[emoji7][emoji3059][emoji3059]

[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ohh! a married man what a bad lucky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…