Mjue kutofautisha between girls and women.
Halafu mchague mta fit wapi huku mkijua boys are for girls and men are for women.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Sawa mkuu. Hayo ni maoni yako uko huru kutafuta huyo dada wa kishua na asikutegemee ila mimi kwangu no matter dada ni wa uswahilini au wa kishua ni wajibu wa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake, period!Pia siafiki maoni yako mkuu, wewe utakuwa unatoka na hawa kina Mwajuma ndala ndefu wa uswahilini, hana chochote cha kumuingizia kipato zaidi ya mwili wake
Akiamka asubuhi anakuwa yupo kibarazani kupiga umbea na kina Asha Ngedele, au sijui aende kwenye kigodoro huyu lazima umuhudimie tu tena kwa 100%
Ila upate mdada wa kishua ana biashara yake safiii ana usafiri wake utaona kama anashobo na vi mia mia vyako! Dunia inaenda kasi siku hizi wadada tegemezi wanapungua kwa kasi sana hasa wanaojielewa hawataki kutegemea kabisa
Kwanza mimi mdada wa kunitegemea kila kitu simtaki maana ikitokea nimedrop kidogo atategemea kwingine
Find out. It just isn't about her age though.Women are already married, subject to their ages.... why dating then!
What makes a WOMAN?
Issue sio kutoa kama unavyofikiria kwa huo ubongo wako mdogo, na kwa mentality hii ndio maana kila siku mnakuja na nyuzi za kulialia kuwa mmeachwa na wanawake wenu, hata baada kuwahudumia Lila walivyokuwa wanakitaka.Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.
Tafuta hela mdogo wangu uache kupingana na necha. Nguvu unazotumia kupingana na necha ungetumia kutafuta mpunga mkuu, necha hautaiweza nakuhakikishia.
Dah! aisee ila umeenda mbali sana mkuu, unalinganisha kuletewa valentine's gift na girl mkuu ndio na wewe umpe? Usifike huko kamanda please.
Kwani yeye anazuiwa kujitafutia kipato chake, mimi hata wife haniombi pesaKwahio una enjoy mwenyewe siku hizi shida zako hakwambii wewe jua yupo anaezitatua saivi.
Mwanamke hata kama ana hela kiasi gani hizo ni za kwake kaka,
πππ now it's my turn when i was young and naive they manipulated me a lotChekelea tu.
What goes around comes around.
Kenge we.
Huu ni ukweli kwa 100%.Mimi mwanamke wangu sio ombaomba kabisa,na kuna muda hata matumizi ya hela zangu yanamuuma na kuna mudaIla me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Aiseee.. ni wasukuma wote wana mentality kama hii ama ni wewe peke yako? What a sad generationKwani yeye anazuiwa kujitafutia kipato chake, mimi hata wife haniombi pesa
Mpaka pale panapohitajika labda ada ya watoto shule, kukuza biashara, ujenzi nk ila kuhusu chakula nyumbani, nguo za watoto ni vitu vidogo anamaliza yeye tu
Kama kuna mtu anamhonga wife wangu basi shauri yake mimi ninachojua biashara ipo vizuri na ndio wife anaitumia kutekeleza majukumu madogo madogo na bahati nzuri napata heshima yangu kwa wife
Aisee mkuu.. pole sana. Hii ndo tafsiri ya maandiko yalivyo?Tuanzie hapo kwenye red kaka mimi ni mkristo kitabu changu cha dini (bible) kinaniambia nilipoingia kwenye ndoa mimi na mke tukawa mwili mmoja,
Sasa why chake kiwe chake pekeake? then hela yake ifanye kazi gani? nini maana ya msaidizi? anasaidia nini?
Mkuu mimi hata home siombwi hela za ajabu ajabu naona familia zingine kila siku mme lazima aache pesa ya kodi ya meza, mke ana kazi gani? au kazi ya mke ni kutoa ngono na kulea watoto? Umemzoesha kumpa kila kitu ikatokea bahati mbaya haupo dunia leo nani atawalea wanao?
Mkuu muingize kwenye majukumu mkeo akusaidie (msaidiane)
Ni kweli kabisa. Matumizi yanakua sambambamba na mahitaji muhimu.Huu ni ukweli kwa 100%.Mimi mwanamke wangu sio ombaomba kabisa,na kuna muda hata matumizi ya hela zangu yanamuuma na kuna muda
napewa ushauri hadi wa kuachana na marafiki wanaochochea matumizi mabaya ya fedha.
Enhe hebu tuambie! Utampata wapi huyo wa hivyo? Atakuwa amekuzwa kwenye familia ya aina gani? Ili tufundishe watoto wetu wa kiume na kaka zetuRather date a lady who adds something beneficial to your life. Things like emotional intelligence; financial intelligence; spiritual intelligence and other intelligence
NNi kweli kabisa. Matumizi yanakua sambambamba na mahitaji muhimu.
Hoja hapa kuhusu kuhudunia linapaswa kujulikana nibla mwanaume. Baba wa familia ni jukumu lako kama kiongozi wa familia kutimiza hili. Haipaswi usubiriwe mpaka uimbwe. Na mahitaji basic yanajulikana.
Ni kweli kabisa. Matumizi yanakua sambambamba na mahitaji muhimu.
Hoja hapa kuhusu kuhudunia linapaswa kujulikana nibla mwanaume. Baba wa familia ni jukumu lako kama kiongozi wa familia kutimiza hili. Haipaswi usubiriwe mpaka uimbwe. Na mahitaji basic yanajulikana.
Wapo wengi tu mbona,shida ipo kwa hawa wanaotaka kuishi maisha makubwa Ilihali uwezo hawana na wametokea kwenye familia za kimasikini (choka mbaya), mwisho wa siku wanaamua kumtumia mwanaume kama ngazi ya kuwafikisha huko.Enhe hebu tuambie! Utampata wapi huyo wa hivyo? Atakuwa amekuzwa kwenye familia ya aina gani? Ili tufundishe watoto wetu wa kiume na kaka zetu
Who did?πππ now it's my turn when i was young and naive they manipulated me a lot
AiseeeeLadies stop dating these boys who don't know its nature for a man to take care of his woman.Thats how you prove your manhood even religious book( Islamic book to be specific remind men their responsibilities).
Speaking of enjoyment during sex... we don't get horny for boys like you never that means we don't even enjoy having sex with you stingy boys. We feel horny only with real men around.
Nb: Excuse my english