Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

Mjue kutofautisha between girls and women.

Halafu mchague mta fit wapi huku mkijua boys are for girls and men are for women.

Ama nasema uongo ndugu zangu?

Women are already married, subject to their ages.... why dating then!

What makes a WOMAN?
 
Pia siafiki maoni yako mkuu, wewe utakuwa unatoka na hawa kina Mwajuma ndala ndefu wa uswahilini, hana chochote cha kumuingizia kipato zaidi ya mwili wake

Akiamka asubuhi anakuwa yupo kibarazani kupiga umbea na kina Asha Ngedele, au sijui aende kwenye kigodoro huyu lazima umuhudimie tu tena kwa 100%

Ila upate mdada wa kishua ana biashara yake safiii ana usafiri wake utaona kama anashobo na vi mia mia vyako! Dunia inaenda kasi siku hizi wadada tegemezi wanapungua kwa kasi sana hasa wanaojielewa hawataki kutegemea kabisa

Kwanza mimi mdada wa kunitegemea kila kitu simtaki maana ikitokea nimedrop kidogo atategemea kwingine
Sawa mkuu. Hayo ni maoni yako uko huru kutafuta huyo dada wa kishua na asikutegemee ila mimi kwangu no matter dada ni wa uswahilini au wa kishua ni wajibu wa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake, period!

Kwahiyo wewe ukiwa na mwanamke anatakiwa achangie kodi ya nyumba? Wewe ukilipa ada term hii yeye anatakiwa alipe term inayofuata? Pole sana ngosha. Mwanamke hata kama ana hela kiasi gani hizo ni za kwake kaka, na wewe kama kweli unahitaji kuitwa kichwa cha nyumba fungua akili yako.
 
Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.

Tafuta hela mdogo wangu uache kupingana na necha. Nguvu unazotumia kupingana na necha ungetumia kutafuta mpunga mkuu, necha hautaiweza nakuhakikishia.

Dah! aisee ila umeenda mbali sana mkuu, unalinganisha kuletewa valentine's gift na girl mkuu ndio na wewe umpe? Usifike huko kamanda please.
Issue sio kutoa kama unavyofikiria kwa huo ubongo wako mdogo, na kwa mentality hii ndio maana kila siku mnakuja na nyuzi za kulialia kuwa mmeachwa na wanawake wenu, hata baada kuwahudumia Lila walivyokuwa wanakitaka.

Mwanaume anejielewa hawezi date na au kuwa na future yoyote na mwanamke anaechukulia mapenzi kama biashara, yani yeye anawaza namna ya kutumia chochote kinachopatikana na hana mchango wowote (simaanishi akatafute), namaanisha msaada wa kimawazo kwa mwanaume wake kuhakikisha maisha yanaendelea. Mwanamke anaedhani kitu pekee anachoweza kuoffer kwenye mahusiano ni mbususu, kitu ambacho hata kwao changudoa unapata😅. Haya endeleeni kutoa na kuhudumia malaya wenu,ila mpunguze nyuzi za kulialia humu.
 
Kwahio una enjoy mwenyewe siku hizi shida zako hakwambii wewe jua yupo anaezitatua saivi.
Kwani yeye anazuiwa kujitafutia kipato chake, mimi hata wife haniombi pesa

Mpaka pale panapohitajika labda ada ya watoto shule, kukuza biashara, ujenzi nk ila kuhusu chakula nyumbani, nguo za watoto ni vitu vidogo anamaliza yeye tu

Kama kuna mtu anamhonga wife wangu basi shauri yake mimi ninachojua biashara ipo vizuri na ndio wife anaitumia kutekeleza majukumu madogo madogo na bahati nzuri napata heshima yangu kwa wife
 
Mwanamke hata kama ana hela kiasi gani hizo ni za kwake kaka,

Tuanzie hapo kwenye red kaka mimi ni mkristo kitabu changu cha dini (bible) kinaniambia nilipoingia kwenye ndoa mimi na mke tukawa mwili mmoja,

Sasa why chake kiwe chake pekeake? then hela yake ifanye kazi gani? nini maana ya msaidizi? anasaidia nini?

Mkuu mimi hata home siombwi hela za ajabu ajabu naona familia zingine kila siku mme lazima aache pesa ya kodi ya meza, mke ana kazi gani? au kazi ya mke ni kutoa ngono na kulea watoto? Umemzoesha kumpa kila kitu ikatokea bahati mbaya haupo dunia leo nani atawalea wanao?

Mkuu muingize kwenye majukumu mkeo akusaidie (msaidiane)
 
Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Huu ni ukweli kwa 100%.Mimi mwanamke wangu sio ombaomba kabisa,na kuna muda hata matumizi ya hela zangu yanamuuma na kuna muda
napewa ushauri hadi wa kuachana na marafiki wanaochochea matumizi mabaya ya fedha.
 
Kwani yeye anazuiwa kujitafutia kipato chake, mimi hata wife haniombi pesa

Mpaka pale panapohitajika labda ada ya watoto shule, kukuza biashara, ujenzi nk ila kuhusu chakula nyumbani, nguo za watoto ni vitu vidogo anamaliza yeye tu

Kama kuna mtu anamhonga wife wangu basi shauri yake mimi ninachojua biashara ipo vizuri na ndio wife anaitumia kutekeleza majukumu madogo madogo na bahati nzuri napata heshima yangu kwa wife
Aiseee.. ni wasukuma wote wana mentality kama hii ama ni wewe peke yako? What a sad generation
 
Tuanzie hapo kwenye red kaka mimi ni mkristo kitabu changu cha dini (bible) kinaniambia nilipoingia kwenye ndoa mimi na mke tukawa mwili mmoja,

Sasa why chake kiwe chake pekeake? then hela yake ifanye kazi gani? nini maana ya msaidizi? anasaidia nini?

Mkuu mimi hata home siombwi hela za ajabu ajabu naona familia zingine kila siku mme lazima aache pesa ya kodi ya meza, mke ana kazi gani? au kazi ya mke ni kutoa ngono na kulea watoto? Umemzoesha kumpa kila kitu ikatokea bahati mbaya haupo dunia leo nani atawalea wanao?

Mkuu muingize kwenye majukumu mkeo akusaidie (msaidiane)
Aisee mkuu.. pole sana. Hii ndo tafsiri ya maandiko yalivyo?
 
Huu ni ukweli kwa 100%.Mimi mwanamke wangu sio ombaomba kabisa,na kuna muda hata matumizi ya hela zangu yanamuuma na kuna muda
napewa ushauri hadi wa kuachana na marafiki wanaochochea matumizi mabaya ya fedha.
Ni kweli kabisa. Matumizi yanakua sambambamba na mahitaji muhimu.

Hoja hapa kuhusu kuhudunia linapaswa kujulikana nibla mwanaume. Baba wa familia ni jukumu lako kama kiongozi wa familia kutimiza hili. Haipaswi usubiriwe mpaka uimbwe. Na mahitaji basic yanajulikana.
 
Rather date a lady who adds something beneficial to your life. Things like emotional intelligence; financial intelligence; spiritual intelligence and other intelligence
Enhe hebu tuambie! Utampata wapi huyo wa hivyo? Atakuwa amekuzwa kwenye familia ya aina gani? Ili tufundishe watoto wetu wa kiume na kaka zetu
 
Ni kweli kabisa. Matumizi yanakua sambambamba na mahitaji muhimu.

Hoja hapa kuhusu kuhudunia linapaswa kujulikana nibla mwanaume. Baba wa familia ni jukumu lako kama kiongozi wa familia kutimiza hili. Haipaswi usubiriwe mpaka uimbwe. Na mahitaji basic yanajulikana.
N

Sidhani kama kuna mwanaume anaempenda kwa dhati mwanamke wake,alafu akashindwa kumhudumia kwa mahitaji yake ya lazima unless awe hana kabisa hela.
Shida inakuja pale ambapo wewe mwanaume unawaza kuwekeza ila mwanamke wako anakuja na mawazo ya kufuja pesa tu bila sababu za msingi.

Mwanamke ambaye baada ya kutimiza mahitaji yote ya familia na ukaamua kumpa 300k leo za matumizi yake binafsi, baada ya wiki anataka tene100k😅 za kutumiatumia yeye pekeake,mwanamke ambaye ukiwaza kujenga anaona bora muendelee kupanga.Sasa hapo eti ndo ukute unapambana na biashara,unawaza kuwa na watoto bado nyumbani kwenu mama yako anakutegemea utakubali tu.
 
Enhe hebu tuambie! Utampata wapi huyo wa hivyo? Atakuwa amekuzwa kwenye familia ya aina gani? Ili tufundishe watoto wetu wa kiume na kaka zetu
Wapo wengi tu mbona,shida ipo kwa hawa wanaotaka kuishi maisha makubwa Ilihali uwezo hawana na wametokea kwenye familia za kimasikini (choka mbaya), mwisho wa siku wanaamua kumtumia mwanaume kama ngazi ya kuwafikisha huko.
 
Nailed it man. where I live, this habit is extremely embarrassing, you meet a girl today, say you give her 30k for transport, before sunset you receive another bill, even before going jig-jig.
On this front 80% of the ladies behave idiotically.
 
Ladies stop dating these boys who don't know its nature for a man to take care of his woman.Thats how you prove your manhood even religious book( Islamic book to be specific remind men their responsibilities).

Speaking of enjoyment during sex... we don't get horny for boys like you never that means we don't even enjoy having sex with you stingy boys. We feel horny only with real men around.

Nb: Excuse my english
Aiseeee
 
Back
Top Bottom