Stop dating mentally broke girls

Hapo kwenye kutukanana kilugha SasaπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?

Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji

Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home

Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako

Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye

Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress

Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe
 
Tafuteni zenuuu.... [emoji23] sio kuwa maombaombaaa
Wanaume km hamtaki kuombwa hela tulizeni kende zenu chini na muache kuwa kwenye mahusiano, halafu muone km wanawake watatoka tu from no where na kuja kuwaomba hela.

Msieeeeeew zenu. Khaaaaaah
 
Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Sio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, my broda, you're talking like the three wise men. Huyu anafaa ulinzi, au sio wasee? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Duh, sawa mzee wa kukata na za kutolea! 🀣 🀣 🀣
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒHata wanaume wengj humu akili zao ni za kutoa tu.. uzi wanaupita.. wanawake wana akili sana.. utatoa tu.. "mtaka cha uvunguni..."πŸ˜‚
... Sharti adong'oe tyuu! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ushawahi kuona mnyama wa kike anaomba chakula kwa mnyama wa kiume???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heee heee[emoji39]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimefurahi sana leo...
Nani alikutuma unisemeshe lugha isiyo yangu[emoji23][emoji23] ama unafikiri jf ni ya wasukuma wenzako?

Anyways, my point is, nakupinga wewe kusema hutaki kuhudumia mwanamke wako. Thats very funny and silly. Amd maybe unashupaza shingo hapa tu ila huko mtaani unazigawa haswaa.

Ina maana wewe mwanamke kufanya shughuli za nyumbani huoni kama amechangia sehemu ya uchumi wa familia? Unajua mmachukulia poa kazi za home? Ama should we do in exchange mubaki majumbani tuende ofisini?

Kumhudumia mwanamke ni jukumu lako akiwa kama mkeo. Kinachosikitiaha zaidi mnatukuza mama zenu lakini munawatusi wake zenu. Should ur fathers do the same?

Okey, kama mpenzi wako ama mkeo hana ajira kwahiyo hana haki ya kupata support yako? Hana haki ya kupendwa kwa maana hiyo siyo? Bado nitaendelea kusisitiza, nitamlaumu tu mwanamke mwenye matumizi mabaya ya fedha na mwenye tamaa. Or else kama unamhudumia vitu basic na vinaonekana makasiriko ya nini?
Whats the pride ya kuwa mwanaume sasa? Uanaume wako uko wapi? Ama wataka tuanze kukuhudumieni nyie sasa maana mnaona wivu sana sijui tunafaidi sana?

Kuhusu kujitambulisha Mr. & Mrs. Kwani wewe ulitaka utambulisho uweje? Na kama partner wako amepata nafasi ya ajira ni kumshukuru Mungu maana hapa ni kama unabagua sasa.

Binafsi sipendi kabisa kumuomba partner wangu. Najimudu mwenyewe kwa level ya maisha niliyo nayo. Ila haiondoi uhalisia kwamba natamani sana nipate haya mapenzi ya kupewa bila kuomba na yeye mwenyewe. Atoe tu yeye maana ndo pride ya mwanaume. Sasa kama na nyie mmeanza kudai 50 kwa 50 basi balaa. Support from partners ipo lkn siyo as a demand aisee.

Halaf mwanaume kamili hapigi mwanamke makofi[emoji23][emoji23][emoji2222] ua halipigwi kofi. Unasikia? Wasukuma mmezoea saana kutumia maguvu kama mnavuna pamba mashambani[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…