Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
😂😂Haahhahhha haki nimechekaje huku. Kwa hiyo sijui ndiyo mnatukanana kikabila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Haahhahhha haki nimechekaje huku. Kwa hiyo sijui ndiyo mnatukanana kikabila?
Hapo kwenye kutukanana kilugha Sasa😂😂.U are so bitter. Seemingly hata akala chakula ulichonunua roho inakuuma. Kwa mawazo yangu binafsi bado hujafikia title ya kuitwa A Man.
Halaf the mist funny part ni pale wanaume wanapofikiriaga kazi za nyumbani ni rahisi. Hebu kaa nyumbani mwezi mmoja ufanye majukumu anayofanya mama wa nyumbani kama hutomwamkia kwa magoti. Ufue, upike, uoshe vyombo, udeki, usafi kila kitu, uogeshe watoto uwaandae asubuhi shule etc. Ingekua ni rahisi hivyo musingekua mnakaa kwenye makochi mnachezea simu. U are very selfish.
Nutakachokubaliana na wewe ni wale wanawake wenye tamaa ambao wanataka kuyaishi maisha ambayo si yenu kiuhalisia na ufujaji wa hela. Wale wanaopenda maisha ya kuigiza wale ili kuemdana na status kubwa kwenye jamii or else u need to grow up ndo uje ongea such utterances.
Wanawake naturally wameumbwa wahudumiwe. We are flowers. Nasi zipo huduma tunazozitoa kimsingi ambazo hata useme unazilipia u cant. Give massive respect to your morhers and sisters. Na kama hana cha kumuingizia kipato na una uwezo si umpe mtaji afanye jambo? Mbona unataka kuiua pride ya baba na mwanaume? Hivi tittle ya baba mnaichukulia poa sana ama? U are the provider, protector and everything. Ama ndo 50 kwa 50?
Halaf kama umenitukana kilugha chenu nakurudishia.
Kolya ukundi itoshwa ho tudhu uambe tuksengetrie msoro akle mbatu. Kite cha varimu mwekudhukana ni mkuu
miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?U are so bitter. Seemingly hata akala chakula ulichonunua roho inakuuma. Kwa mawazo yangu binafsi bado hujafikia title ya kuitwa A Man.
Halaf the mist funny part ni pale wanaume wanapofikiriaga kazi za nyumbani ni rahisi. Hebu kaa nyumbani mwezi mmoja ufanye majukumu anayofanya mama wa nyumbani kama hutomwamkia kwa magoti. Ufue, upike, uoshe vyombo, udeki, usafi kila kitu, uogeshe watoto uwaandae asubuhi shule etc. Ingekua ni rahisi hivyo musingekua mnakaa kwenye makochi mnachezea simu. U are very selfish.
Nutakachokubaliana na wewe ni wale wanawake wenye tamaa ambao wanataka kuyaishi maisha ambayo si yenu kiuhalisia na ufujaji wa hela. Wale wanaopenda maisha ya kuigiza wale ili kuemdana na status kubwa kwenye jamii or else u need to grow up ndo uje ongea such utterances.
Wanawake naturally wameumbwa wahudumiwe. We are flowers. Nasi zipo huduma tunazozitoa kimsingi ambazo hata useme unazilipia u cant. Give massive respect to your morhers and sisters. Na kama hana cha kumuingizia kipato na una uwezo si umpe mtaji afanye jambo? Mbona unataka kuiua pride ya baba na mwanaume? Hivi tittle ya baba mnaichukulia poa sana ama? U are the provider, protector and everything. Ama ndo 50 kwa 50?
Halaf kama umenitukana kilugha chenu nakurudishia.
Kolya ukundi itoshwa ho tudhu uambe tuksengetrie msoro akle mbatu. Kite cha varimu mwekudhukana ni mkuu
Wanaume km hamtaki kuombwa hela tulizeni kende zenu chini na muache kuwa kwenye mahusiano, halafu muone km wanawake watatoka tu from no where na kuja kuwaomba hela.
Msieeeeeew zenu. Khaaaaaah
Nachekaaa hapaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye kutukanana kilugha Sasa[emoji23][emoji23].
Sio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Hahaha, my broda, you're talking like the three wise men. Huyu anafaa ulinzi, au sio wasee? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂I know many girls and ladies gonna be angry with this post but try learn from it. Guys, how do some of you even cope with dating a broke girl? I know some still don't understand what I mean by Broke Girls.
(1). A girl who doesn't have transport fare to see someone who she claims she loves every damn time.
(2). A lady who can't get you a birthday or a Valentine's day gift, but expects you to bring down the world for her during hers.
(3). Someone who can't comfortably call you on phone for 5mins. Always flashing and complaining she doesn't have airtime even when you know you just sent her airtime.
(4a.) I mean how do you guys cope dating a lady who thinks relationship is an occupation; where she is supposed to be paid and taken care of?
(4b). Even if it's an occupation, what services is she actually offering to be privileged to receive such benefits?
(4c.) Or is she a ghost worker? ( NB: sex is not a benefit ONLY to men ) How do some guys manage to date such ladies?
(5). No wonder suicide and depression victims are mostly men.
(6). See guy, don't ever date a broke girl no matter how gorgeous you think she is. They are serious liabilities
(.7.) Rather date a lady who adds something beneficial to your life. Things like emotional intelligence; financial intelligence; spiritual intelligence and other intelligence
(8). Date someone who's capable of calming the storm within your soul ( an average man has enough storms ); and not someone who adds stress to your life.
(9). Forget that yehn yehn talk, don't tolerate any woman's brokenness or stupidity just because of her physical beauty.
(10). There are actually a lot of extremely gorgeous and beautiful ladies with common sense.
(11). So don't ever think of settling for less brother. One thing I've realized about all these broke girls is not that they don't actually have money...
(12). Most of them do; but it's just that they're mentally broke, which is way worse than not having money.I know many girls and such liabilities ladies gonna be angry with this message, they won't be happy, But Ladies please don't blame me for your stupidity..
AN HUNGRY MAN IS AN ANGRY MAN.
HAPPY SUNDAY... [emoji23]
Atee Woot!!! 🤣 🤣 🤣Sio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Duh, sawa mzee wa kukata na za kutolea! 🤣 🤣 🤣Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.
Tafuta hela mdogo wangu uache kupingana na necha. Nguvu unazotumia kupingana na necha ungetumia kutafuta mpunga mkuu, necha hautaiweza nakuhakikishia.
Dah! aisee ila umeenda mbali sana mkuu, unalinganisha kuletewa valentine's gift na girl mkuu ndio na wewe umpe? Usifike huko kamanda please.
... Sharti adong'oe tyuu! 🤣 🤣 🤣 🤣😃😃😃Hata wanaume wengj humu akili zao ni za kutoa tu.. uzi wanaupita.. wanawake wana akili sana.. utatoa tu.. "mtaka cha uvunguni..."😂
ushawahi kuona mnyama wa kike anaomba chakula kwa mnyama wa kiume???Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vizinga vya kukata na shoka sio? 😂 😂 😂 😂 Manina! 🤣Kuna mwanamke anaomba mpaka sina raha naye ukimpigia simu tu kizinga eti naomba laki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]What a thread tatizo linapingana na nature bro.
Niliwahi kujaribu kupingana na hii nature ila hawaviumbe asikwambie mtu when it comes to kupiga mzinga, wako more advance kuliko unavyo fikiri.
Unatumiwa text kadhaa za viwango vya SGR kumuonesha kakufurahisha unamuungia bandle la mwezi, anakununulia zawadi ya boxer, vest au card garama yke haifiki hata elfu 30 halafu anakupiga mzinga wa laki 3 huku kakukumbatia nyuma ya mgongo 'unatokaje!!
Enzi za ujana wangu nilikuwa naona ni bora nimzawadie yule asie nizawadia chochote zaidi ya heshima na penzi, kuliko hawa vipanga anakuletea kizawadi kisha anakuacha na maumivu makali, yaani unatoa pesa mpaka unajiuliza hivi ilikuwaje Y sikukataa au ningempa walau nusu ila basi ndo ishatokea.....
Hawa viumbe anaewajua vizuri ni yule aliewaumba tu.
Heee heee[emoji39]miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?
Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji
Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home
Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako
Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye
Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress
Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?
Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji
Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home
Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako
Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye
Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress
Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe
Tuzitafute wapi sasa?Tafuteni zenuuu.... [emoji23] sio kuwa maombaombaaa
No one's perfect!Where can I find the perfect ladies?
si wewe hapoEnhe hebu tuambie! Utampata wapi huyo wa hivyo? Atakuwa amekuzwa kwenye familia ya aina gani? Ili tufundishe watoto wetu wa kiume na kaka zetu
Aah wee. Nitapigwa banMkuu tafsiri tafadhari mwishoni hapoo mbona mnatutenga
Eeeh Mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uniache Witty... ni ya henessy ama ya nn maeSio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app