Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,Tafuteni zenuuu.... [emoji23] sio kuwa maombaombaaa
Umeongea pwente.....Mjue kutofautisha between girls and women.
Halafu mchague mta fit wapi huku mkijua boys are for girls and men are for women.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Hakika kabisa nakazia hapa. Huhuhuhuh.Sio kweli mkuu, mi nikikuomba hela sana ujue nakupenda sana, sitaki kukucheat[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahaha 🤐As long you are dating a mentally broke girl then you are more likely to be a mentally broke guy, birds of same feathers...
Kuwa kitombi ni natural ka venye kuwa omba omba! 🏃🏾 🏃🏾 🏃🏾 😂Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,
Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
50/50 😂😂😂On a serious note... wanaume wote wanaosupport hii thread hawana hela. Wenye hela zao wametulia tuliii wanaupita kimya kimya kama wanamuaga marehemu. Hamtaki come and beat me[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatari tupu dea.Tuzitafute wapi sasa?
Sisi dhaifu[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi mtulie sasa kelele za nn tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa kitombi ni natural ka venye kuwa omba omba! [emoji1493] [emoji1493] [emoji1493] [emoji23]
Am just in for the ride... ✌️Basi mtulie sasa kelele za nn tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mmekuja kuwa hovyo kabisaa[emoji23][emoji23] si punde na nyie mtaanza kupambania haki zenu kama hv50/50 [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani unafikiri ni nini? Majority ya family zetu ni house wives ila wananyoosha midomo kama chuchunge tu[emoji23]Ukute mijanaume yote ilocomment humu 80% mama zao ni wale housewives. Mama angalia familia baba katafute.
Sasa wanakazana kutukana
Wahala dey for us who no got money[emoji1787]
Let me come and be going[emoji1493][emoji1493]
okay hit me up dm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi sana leo...
Nani alikutuma unisemeshe lugha isiyo yangu[emoji23][emoji23] ama unafikiri jf ni ya wasukuma wenzako?
Anyways, my point is, nakupinga wewe kusema hutaki kuhudumia mwanamke wako. Thats very funny and silly. Amd maybe unashupaza shingo hapa tu ila huko mtaani unazigawa haswaa.
Ina maana wewe mwanamke kufanya shughuli za nyumbani huoni kama amechangia sehemu ya uchumi wa familia? Unajua mmachukulia poa kazi za home? Ama should we do in exchange mubaki majumbani tuende ofisini?
Kumhudumia mwanamke ni jukumu lako akiwa kama mkeo. Kinachosikitiaha zaidi mnatukuza mama zenu lakini munawatusi wake zenu. Should ur fathers do the same?
Okey, kama mpenzi wako ama mkeo hana ajira kwahiyo hana haki ya kupata support yako? Hana haki ya kupendwa kwa maana hiyo siyo? Bado nitaendelea kusisitiza, nitamlaumu tu mwanamke mwenye matumizi mabaya ya fedha na mwenye tamaa. Or else kama unamhudumia vitu basic na vinaonekana makasiriko ya nini?
Whats the pride ya kuwa mwanaume sasa? Uanaume wako uko wapi? Ama wataka tuanze kukuhudumieni nyie sasa maana mnaona wivu sana sijui tunafaidi sana?
Kuhusu kujitambulisha Mr. & Mrs. Kwani wewe ulitaka utambulisho uweje? Na kama partner wako amepata nafasi ya ajira ni kumshukuru Mungu maana hapa ni kama unabagua sasa.
Binafsi sipendi kabisa kumuomba partner wangu. Najimudu mwenyewe kwa level ya maisha niliyo nayo. Ila haiondoi uhalisia kwamba natamani sana nipate haya mapenzi ya kupewa bila kuomba na yeye mwenyewe. Atoe tu yeye maana ndo pride ya mwanaume. Sasa kama na nyie mmeanza kudai 50 kwa 50 basi balaa. Support from partners ipo lkn siyo as a demand aisee.
Halaf mwanaume kamili hapigi mwanamke makofi[emoji23][emoji23][emoji2222] ua halipigwi kofi. Unasikia? Wasukuma mmezoea saana kutumia maguvu kama mnavuna pamba mashambani[emoji23]
Kwani vibaya tena! 😂 😂 😂 😂Wanaume mmekuja kuwa hovyo kabisaa[emoji23][emoji23] si punde na nyie mtaanza kupambania haki zenu kama hv
😬😬😬Mdogo wangu ungefunga ndoa na sabuni tu,
La sivyo hela utaombwa tu na kama hutoi utaishia kutuita Mashemeji.
[emoji23][emoji23] wewe kaka tafaadhali sana. Some cash ya kwio? Dm ya kwio? Hapanaa[emoji23][emoji23] am good on my own. Ni muache tu kuwasakama wanawake zenu wakiomba. Nikiwa na uhitaji najua pa kuzipata mkuu. Asantr sana.okay hit me up dm
I will send you some cash willingly, so that you can enjoy