[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi sana leo...
Nani alikutuma unisemeshe lugha isiyo yangu[emoji23][emoji23] ama unafikiri jf ni ya wasukuma wenzako?
Anyways, my point is, nakupinga wewe kusema hutaki kuhudumia mwanamke wako. Thats very funny and silly. Amd maybe unashupaza shingo hapa tu ila huko mtaani unazigawa haswaa.
Ina maana wewe mwanamke kufanya shughuli za nyumbani huoni kama amechangia sehemu ya uchumi wa familia? Unajua mmachukulia poa kazi za home? Ama should we do in exchange mubaki majumbani tuende ofisini?
Kumhudumia mwanamke ni jukumu lako akiwa kama mkeo. Kinachosikitiaha zaidi mnatukuza mama zenu lakini munawatusi wake zenu. Should ur fathers do the same?
Okey, kama mpenzi wako ama mkeo hana ajira kwahiyo hana haki ya kupata support yako? Hana haki ya kupendwa kwa maana hiyo siyo? Bado nitaendelea kusisitiza, nitamlaumu tu mwanamke mwenye matumizi mabaya ya fedha na mwenye tamaa. Or else kama unamhudumia vitu basic na vinaonekana makasiriko ya nini?
Whats the pride ya kuwa mwanaume sasa? Uanaume wako uko wapi? Ama wataka tuanze kukuhudumieni nyie sasa maana mnaona wivu sana sijui tunafaidi sana?
Kuhusu kujitambulisha Mr. & Mrs. Kwani wewe ulitaka utambulisho uweje? Na kama partner wako amepata nafasi ya ajira ni kumshukuru Mungu maana hapa ni kama unabagua sasa.
Binafsi sipendi kabisa kumuomba partner wangu. Najimudu mwenyewe kwa level ya maisha niliyo nayo. Ila haiondoi uhalisia kwamba natamani sana nipate haya mapenzi ya kupewa bila kuomba na yeye mwenyewe. Atoe tu yeye maana ndo pride ya mwanaume. Sasa kama na nyie mmeanza kudai 50 kwa 50 basi balaa. Support from partners ipo lkn siyo as a demand aisee.
Halaf mwanaume kamili hapigi mwanamke makofi[emoji23][emoji23][emoji2222] ua halipigwi kofi. Unasikia? Wasukuma mmezoea saana kutumia maguvu kama mnavuna pamba mashambani[emoji23]