Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

Nina manz ambaye ni best yangu sana now japo natafta mbinu nimtafune kimasihara ila huwa ananiambia hivyo hivyo kuwa anaombaga hela kwa mtu asiye na hisia nae just to cut him off! Au anakula offer zako za out na tunda hakupi ila anayempenda wala hamsumbui hata kidogo so huenda hili ni la kweli maana nimeyasikia kwa manzi kabisa!
Ndo nakuambia ukweli. Ni sahihi kabisa. Tunaongelea yale mapenzi ya ndani ndnai kabisa. Nikikuomba jua i wanna push u away maana unanikera. Kuna ID humu nahisi ni kijana nilikua namwombaga hela makusudi miaka hiyo hata hanielewi. Sad enough he keeps coming[emoji31][emoji31] sema simuombagi tena kumfukuza maana nilishamfukuza[emoji23][emoji23][emoji23] najua ni yeye tu
 
Mie pia nashukuru nature ya mwanamke niliye naye hanilazimu kumpa hela kila wakati japo akiniomba nampatia ila ni very independent, ananiombaga kwa security checks tu au kuniinjoy tu thus why hata siwazagi! Huwa nashangaa sana wanawake wanaolilia kupewa hela kila mda na kila jambo anaomba hela kama vile ni lazima iwe hivyo!

Anafanya vibiashara vyake akishirikiana na dada yake kuji manage mwenyewe sema mchumi sana sio mfujaji wala slay queen ila kukwambia mme wangu nina million na nusu hii nimevunja kikoba tufanye jambo gani hizi ndio zake [emoji28][emoji28][emoji28] na hapo ndipo napompendea na kujisemea asante mungu kwa huyu mwanamke uliyenipa.

Saa zingine linatokea dili buh bah linataka hela ya fasta kufanikisha nambonyeza mama nijazie M hapa nimalize ishu flani mezani nivute hela anakurekebishia.

Naamini hii ndio maana halisi ya kuwa patners sio kufujana ambako kunatetewa kwa nguvu na mademu wenye akili za kimaskini![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe unaelewa nachokisema. Jamaa zako wanachotaka ni kutotoa chochote aisee... and thats how a couple should be. Jamaa zako wao hawatki kbs mfuko uguswe
 
Hata tukisema wanawake ombaomba wote waache kutoa mbususu na wahamie kwenye dildos,bando watakaoumia ni haohao maana najua hawawezi pata nguvu ya kujisukumia dildo bila kula,na kula yao ni uombaomba wao.
Sasa, km unajua hilo why unapiga kelele? [emoji23][emoji23]
 
Mwanamke kuomba hela hovyo kuna connection na kukosa adabu! Kukosa adabu kuna connection na kukosa hisia sababu wengi wanajua kwamba wanachofanya ni foul ila they do it sababu hawawapendi hao wanaume!
Kuomba hela hovyo ndio kupoje? Hebu tuanzie hapo kwani.
 
Kwahiyo kutunza maan yake nn? [emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe hapa.
Taking care of someone doesn't mean financial handing out.kuna mstari kwenye kitabu imeandikwa tuwape hela hivi? Au mnakitabu chenu [emoji23]
 
I know many girls and ladies gonna be angry with this post but try learn from it. Guys, how do some of you even cope with dating a broke girl? I know some still don't understand what I mean by Broke Girls.

(1). A girl who doesn't have transport fare to see someone who she claims she loves every damn time.

(2). A lady who can't get you a birthday or a Valentine's day gift, but expects you to bring down the world for her during hers.

(3). Someone who can't comfortably call you on phone for 5mins. Always flashing and complaining she doesn't have airtime even when you know you just sent her airtime.

(4a.) I mean how do you guys cope dating a lady who thinks relationship is an occupation; where she is supposed to be paid and taken care of?

(4b). Even if it's an occupation, what services is she actually offering to be privileged to receive such benefits?

(4c.) Or is she a ghost worker? ( NB: sex is not a benefit ONLY to men ) How do some guys manage to date such ladies?

(5). No wonder suicide and depression victims are mostly men.

(6). See guy, don't ever date a broke girl no matter how gorgeous you think she is. They are serious liabilities

(.7.) Rather date a lady who adds something beneficial to your life. Things like emotional intelligence; financial intelligence; spiritual intelligence and other intelligence

(8). Date someone who's capable of calming the storm within your soul ( an average man has enough storms ); and not someone who adds stress to your life.

(9). Forget that yehn yehn talk, don't tolerate any woman's brokenness or stupidity just because of her physical beauty.

(10). There are actually a lot of extremely gorgeous and beautiful ladies with common sense.

(11). So don't ever think of settling for less brother. One thing I've realized about all these broke girls is not that they don't actually have money...

(12). Most of them do; but it's just that they're mentally broke, which is way worse than not having money.I know many girls and such liabilities ladies gonna be angry with this message, they won't be happy, But Ladies please don't blame me for your stupidity..

AN HUNGRY MAN IS AN ANGRY MAN.
HAPPY SUNDAY... [emoji23]
Nimetoka kumuacha janamke moja hivi mwezi uliopita 90percent ni Mimi yeye ni 10percent tu nikamuacha aende zake. Mtu unaishi nae utazani gogo ata ushauri hakupi wa nini sasa
 
Natamani nimtag mtu kwenye Uzi huu ila naogopa nisije kosa hata hicho kidog nnachopata
 
U are so bitter. Seemingly hata akala chakula ulichonunua roho inakuuma. Kwa mawazo yangu binafsi bado hujafikia title ya kuitwa A Man.

Halaf the mist funny part ni pale wanaume wanapofikiriaga kazi za nyumbani ni rahisi. Hebu kaa nyumbani mwezi mmoja ufanye majukumu anayofanya mama wa nyumbani kama hutomwamkia kwa magoti. Ufue, upike, uoshe vyombo, udeki, usafi kila kitu, uogeshe watoto uwaandae asubuhi shule etc. Ingekua ni rahisi hivyo musingekua mnakaa kwenye makochi mnachezea simu. U are very selfish.

Nutakachokubaliana na wewe ni wale wanawake wenye tamaa ambao wanataka kuyaishi maisha ambayo si yenu kiuhalisia na ufujaji wa hela. Wale wanaopenda maisha ya kuigiza wale ili kuemdana na status kubwa kwenye jamii or else u need to grow up ndo uje ongea such utterances.

Wanawake naturally wameumbwa wahudumiwe. We are flowers. Nasi zipo huduma tunazozitoa kimsingi ambazo hata useme unazilipia u cant. Give massive respect to your morhers and sisters. Na kama hana cha kumuingizia kipato na una uwezo si umpe mtaji afanye jambo? Mbona unataka kuiua pride ya baba na mwanaume? Hivi tittle ya baba mnaichukulia poa sana ama? U are the provider, protector and everything. Ama ndo 50 kwa 50?

Halaf kama umenitukana kilugha chenu nakurudishia.
Kolya ukundi itoshwa ho tudhu uambe tuksengetrie msoro akle mbatu. Kite cha varimu mwekudhukana ni mkuu
Miss Pablo and Pablo usually said everyone has a price, the important thing is to find out what it is!
 
Back
Top Bottom