Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Nakubaliana na wewe
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Madoda ni nini nimecheka
Yule mume wa aziza aliyefariki arusha halaf makahaba wanagombania kuweka mashada kaburini ila mke akatupa shada la mbunge cathe magige mbali[emoji23][emoji23]
 
•I read somewhere that money contribute 10% of the welfare of the relationship when present and contribute 90% of divorce or breakage of the relationship when absent.

•It seems when money is there it shows no harm in such, however its absence is intolerable environment to one side in r/ship.
• Men are wired to dominate. Few men feel confident with their women while the pocket is empty.

• For an ideal woman will adhere to all features given where are they by the way?
 
Upo kwenye mission zako bisy , unachek simu unakuta 12 missed call zake, unampigia..
Mambo vipi.. unauliza tatizo nini?

Anajibu ..nina hamu na chipsi..!!

Unajiuliza WTF..???


Umeonana nae.. mmetoka out, umelipia menu nzuri ya msosi kala kashiba vyema.

Umelipia room safi..
Umemridhisha vyema ka nejoy
Umehakikisha anarudi kwake.. kwa gharama zako
Lakini bado anataka pesa...??? Hapa ndiyo utamjuwa mwanamke mbinafsi,mdangaji
 
Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.

Watu mnao invest kwenye mapenzi huwa mnaumizwa sana hasa pale mnapoqnza kuwasomesha kabisa wapenzi wenu..

Kuwafungulia biashara
Kuwajengea nyumba
Kuwanunulia vitu vikubwa vya gharama kama gari..

Hayo yote hayana tatizo kama unamfanyia
MKE WAKO TU!

Lakini kama ni mpenzi...tu fanya kwa moyo wako kama kumsaidia mtu baki,

Hata siku moja huwezi ukanunua mapenzi /upendo!

So usitegemee kuwa kadri utakvyojitoa/kuhudima ndivyo utavyozidi kupendwa hiyo ni hapana
Love is not transactional- pesa wala mali hazisadi, ikiwa utashindwa ku connect na hawa viumbe emotionally..!
 
Pole sana, unapingana na nature, ushawahi kuona mnyama wa kiume anabaki na watoto, afu jike ndio linaenda kutafuta chakula? Waume hilo ni jukumu lenu ku provide.... msikimbie 🤣🤣🤣🤣
Tuna provide kwa wake zetu na familia ..
Kabla ya ndoa mtoto wakike inabidi ajiongeze.. sio unamuita mtoke out akale hela zako bado hata nauli ya kufika location umtumie ??
 
Back
Top Bottom