mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Mbona unakuwa mkali? Hapa ni suala la kuelimishana..kwahiyo unataka kusema mbadala wa stop engine kwenye gari za kichina ni ile retarder?Ipo bhana,au hujui kazi ya retarder? Tatizo wewe umekariri kusikia ile sauti yake!! Tena yawezekana ww sio dereva kabisa!!! Ila tu unajua kuendesha magari madogo
upo sahh kiasi mkuustop engine hufanya kazi kwa kuziba outlets, hii husababisha engine kushindwa kupumua na kwa wakati huo engine ndo inakuwa inazuia mzungukowa gear box. badala ya kuuzungusha inazuia (kinyume) hii huwekwa ili kupunguza msuguano wa kwenye dram zabrake na kupunguza joto linalotokea baina ya rim na tyre. kwa uelewa wangu engine za kichina ni dhaifu, kuzuia hewa(moto) isitoke ndani ya engine (stopengine) hizi engine za kichina zingekuwa na maisha mafupi zaidi!
Dereva kalewa gongo, sawa hiyo?
Kama Sijakosea Inasemekana Stop Engine Inazalisha Carbon Nyingi Sana Kwenye Inlets Za Block Na Kwenye Small H20 Jackets Baadae Pump Zinaleta Problema Mpaka Kwenye Radiator
Kwenye Howo, FAW, na Dongfen trucks stop engine ipo au unazungumzia gari gani za kichina
Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina kuanzia Yutong mabasi haya mpaka malori cjaona stop engine/engine break..Ni kwanini pengine mchina hajaweka? Au badala yake ni nn kinachofanya kazi sawa na stop engine zilizo kwenye magari aina zingine?