mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina kuanzia Yutong mabasi haya mpaka malori cjaona stop engine/engine break..Ni kwanini pengine mchina hajaweka? Au badala yake ni nn kinachofanya kazi sawa na stop engine zilizo kwenye magari aina zingine?