Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
What is foreign about the foreign aid that we get? Kwetu sisi misaada toka nchi mbali mbali sio kitu foreign hata kidogo.
Sasa acheni utani. Kama sii hii misaada hakungekuwa na chochote Tanzania. Kitu pekee non trivial ambacho kimeshafanyika Tanzania bila msaada ni ujenzi wa jengo jiya la BoT! Ni ujenzi wa sehemu ya kuchotea tu!
Ukiondoa barabara za misaada Dar utabaki na njia za TZ11 peke yake! Tuwaeleweshe kidogo wale waliozaliwa hospitalini:
Mgonjwa aliye kwenye drip atasemaje mirija ndio imemdhoofisha?

- Barabara ya Nelson Mandela kajenga Jarumani
- Barabara toka Dar hadi Moshi kajenga Mwitalia
- Maji yanayonyweka Rombo kayaleta Jarumani toka Marangu.
- Salenda Bridge, Kawawa Road, Morogoro Road, kajenga Mjapani.
- Kitivo cha Uhandisi UDSM, Arusha Technical College, kajenga Jarumani.
- Watanzania waliosoma nje karibu wote wamesomeshwa kwa msaada
- Maji safi kidogo mikoani yote ya misaada
- Kilimo chote cha umwagiliaji ni cha msaada
Mgonjwa aliye kwenye drip atasemaje mirija ndio imemdhoofisha?