Stop JF PM abuse!

Stop JF PM abuse!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1161_3.jpg

i1160_2.jpg

Habari ndiyo hiyo!
 
hawa wazungu ni member wa jf? If no pm zinawahusuje?
Nguli ,hivi hujui JF ni intaneshnowaizi? Ipo kila mahali.Hao nao ni member labda wabebamaboksi.Huyu mwanaume wa mbele pengine ni Masanilo.
 
Nguli ,hivi hujui JF ni intaneshnowaizi? Ipo kila mahali.Hao nao ni member labda wabebamaboksi.Huyu mwanaume wa mbele pengine ni Masanilo. [QUOTE]

Imenifurahisha sana...
Lakini hawa wanaotukanwa kwa PM mbona hawazitoi hapa tukaziona, wanaoza nazo rohoni tu?
Journal Pape..umetukanwa na nani...Usije ukawa unaogoa kivuli chako!
 
Huyo aliebeba bango la acheni Matusi JF ndo Masanilo huyo. LOL
 
Nguli ,hivi hujui JF ni intaneshnowaizi? Ipo kila mahali.Hao nao ni member labda wabebamaboksi.Huyu mwanaume wa mbele pengine ni Masanilo. [QUOTE]

Imenifurahisha sana...
Lakini hawa wanaotukanwa kwa PM mbona hawazitoi hapa tukaziona, wanaoza nazo rohoni tu?
Journal Pape..umetukanwa na nani...Usije ukawa unaogoa kivuli chako!
hahahahahaha!
 
hapo yupo Nguli na carmel jamani
well done JP
i appriciate you post
 
Back
Top Bottom