Storage area network

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu?
Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa sijaifahamu ni kwa vipi hii technology inafanya kazi!!
 
Unaweza kuanzia hapa kusoma na kuelewa SAN ni nini.

Mimi nina SAN ya 5 NAS devices na 7 servers in my basement. I am not using all at once though.


 
Huo ushauri sio mzuri kwa kifupi, SAN ni concept, ni network maalumu ambayo kazi yake ni kudeal na storage na inaweza kuzipa mashine mbalimbali storage ambayo itaonekana kama disk kwa upande wa mashine ila inaweza ikawa ni device ambayo ipo sehemu tofauti kabisa kwenye network. Sana sana utajkuta kwenye makampuni ambayo yana uhitaji mkubwa wa storage ya kudumu.

Sijawahi kusikia kuwa solution ya kuwa na DB kubwa ni SAN, DB ambayo ina traffic ya ukweli inahitaji disk ya kutosha kuhifadhi data unazotaka, RAM ya kutosha kufit DB nzima kwenye RAM na CPU ya kutosha kulingana na transactions unazofanya.

Kama unaogopa disk kufa unaweza kutumia RAID na kuwa na DB server zaidi ya moja ambapo data zinakuwa replicated kila wakati.
 
Are setup simole NAS server is enough, as database iki exoand, in this caee whith documents,photos and videos anaweza include SANS
 
Are setup simole NAS server is enough, as database iki exoand, in this caee whith documents,photos and videos anaweza include SANS
 
Ok! Shida ni kuongeza storage kwenye database ambayo ipo hosted kwenye mashine tu! 500GB ssd hivyo inahitajika kuongezwa ukubwa ndio wazo likaja hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…