Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Jamani mimi sio perfect kwenye maisha yangu wala sijasoma pyscholojia ila kwasababu yenu na upendo wenu kwangu... na upend wangu kwenu ...nimeona tusaidiane kwa kadiri ya uwezo wangu na experience zangu za maisha hapa chini ya jua..maana maswali yamekuwa Mengi kule inbox
Simsemi mtu nasaidia tu watu kwa upendo
Je ni kweli WANAUME hamjui kutomgozaaaa?!Simsemi mtu nasaidia tu watu kwa upendo
Sisi wanawake tunapenda kutongozwaaaa asikwambie mtu naongea kwa niaba ya wanawake wengi JF na Duniani.. .. hakuna mwanamke asiependwa kutongozwaaa tena atongozweee vizuriii mpaka akoleeee akishakoleaaa utamwonaaaa tu anakanyaga kidole cha mguu wake wa kushoto kwa kujibinya kama so kulia
Tatizo wanaume siwasemi vibaya mmeshazoea mambo ya fasta fasta kama hivi
1. Kusalimia dk 1
2. Kutongoza dk 3
3. Namba ya simu upewe ndani ya dk 4
4. Busu upige dk 1
5. Ukubaliwe ndani ya dk 2
6. Gheto umpeleke siku hio hio au kesho yake
7. Nyama ule usiku huo huo
8. Kuandaa hujui we ilimradi ushakujaaa unataka umalize ukakojoe ukalale
9. Tisa kumi unataka mpaka kuhamia kwa demu wiki.hio hio kisa umetoa huduma nzuri
10. Gari ya demu wako unataka uendeshe siku ya 2 baada ya kumla
11. Ajira huna unataka kula kwa demu uliempata wiki hio hio kisa wewe ni mwanaume machine
12. Kutafuta shughuli na ajira hautaki unasema vyuma vimekaza
13. Ukishamtumia dada wa watu mwezi m1 unatafute nje ukagonge gari
14. Ndoa Kwako ni kitendawili labda ulee watu wazima
Samahani wanaume wa kizazi kipya mimi kama dada yenu wa zamani naomba niwasaidie tu maana mambo yalivyo sasa mpaka 2025 ukiendelea Kutafuta milupo (cheap thrillers) nahisi utakufaaa
Mtaani mambo magumu kweli kweli asikwambie mtu na bado ....kama hauamini kawaulize Wakenya watakwambia habari ya "Kazi tu" ilivyowafanya Kuanzia mwaka 1987 mpaka 2017
Huko tunavyokwenda ukiskia mtu ni TAJIRI Anakuwa TAJIRI kweli kweli... Maskini Anakuwa Maskini kweli kweli... kiparo cha kati Anakuwa wa kipato cha kati kweli kweli iangalie Kenya wala tusiende Marekani
Angalia Kenya... Africa Kusini ... Malaysia ... Ethiopia... Mouritious na Dubai
Nakusaidia tu kijana wa kiume changamkia Fursa ukiwa na nguvu michezo yenu na kusubiri Zali la Mental utakufaaa na mbupu zako zinamwaga wazungu kama up jela
Anywho naomba nsirudi kwenye kilichonileta nisije kukuboa na kukuchosha... Burudani Kwanzaa
SHEMEU YA 1
A. DEMU MKALI
DEMU MKALI nikimaanisha Totoz wa ukweli Totoz ukimwona tu domo linamwagikaaa mimate inakutoka mwaaaah
Demu kama Akina Toke Makinwaaa wa Nigeria
Akina Tammy Raveraaa wa Marekani
Akina Vera Sidikaaa wa Kenya
Totoz High Class mpaka ukimwona unakata tamaaa unaona bora ule kwa macho kama vepe naniliiihiii unywe maji ulale utafanyaje sass
Basi mwaka huu 2017 nilikutana na rafiki katika shughuli zetu zile za kila siku za ku hustle grind get them $ nilikutana na jamaa m1 INDIA... si unajua nchi za watu ukikutana na mbongo ndio chance ya kujichanganya Basi katika kujichanganya Huko tukawa marafiki wazuri
Kadri siku zinavyozidi kwenda nikamsoma huyu kaka nikajua ni Mpare alafu yup singo lakini anapenda mambo makubwa si unawajua haws ndugu zetu Akina washindathe tenaa
Hakujua kuwa mimi ni money penny ktk onges ongea akaniomba msaada nimwambie wap alikosea
Huyu jamaa Acha tumwite Shommy. ... Shommy beans alisafiri kikazi nchini Kenya Akina Huko kikazi sikumoja akatolewa out na wenyeji wake kwenye hotel ya kifahari Mjini Nairobi... kufika tu wameshakaa wameshaagiza vinywaji Mara wanamwona mrembo Vera Sidikaaa a.k.a QueenveeBossette dadeki Shommy hauamini kwa ni yeye au kuna malaika wake
Akauliza wenyeji wake wakamwambia kweli ni yeye akachanganyikiwa na midadi ya vijana oh me nataka kwenda kumsalimia huyu demu nampendaga wenzake wanamzuia bila mafanikio kweli Shommy kakolea akaamka kwenda kwenye meza ye Vera
Kufika maongezi yake yalikuwa hivi
" Shommy: Habari mrembo Samahani naweza kuketi na wewe?!
Vera Sidika: akamkata jicho akaendelea na simu yake
Shommy: akajiongeza mwana wa Kitz, rijali kweli kweli akaanza kuleta maneno meeengine si unajua watu Tantalila sanaa
Oh Daa Vera mimi nakupendaga sana nimejaribu sana kukutafuta na kuwasiliana nawe lakini nakosa nampata manager wako tu
Nimeku dm instagram kimyaa... WhatsApp ukaniblock... Snapchat haujibu Leo naona ni Mungu tu amenikutanisha na wewe
Vera: anamuangalia tu anarudi kwenye simu kimyaaa
Shommy: Dada Vera naomba nisikupotezee Muda mimi nakupendaga nataka niwe mpenzi wako
Naomba unikubalie2ombi language kama upon single lakini
Vera: Yes am single
Shommy: safi sana mimi nakupendaga naomba nikuoe kabisa tuzae Na watoto... hata mapacha naweza kukupatia
Vera: akamwangalia tu aka mile Akarudi kwenye simu yake
Shommy: ninaweza kukutunza kwetu Tanzania nina Mali nyingi sana zenye thamani ya bilioni 3 hio ni nje ya mshahara wangu wa serikalini
Vera akamwangalia akacheka mooning akaendelea na simu
Shommy: unasemaje mrembo wangu
Vera sidika: akaweka simu yake chini akamwangalia akaanza kuongea
My di bilion 3 ya Tz ni sawa na dola 1,333,000 za Kimarekani
kwa mwaka mmoja au niseme kila mwaka na pokea jumla ya dola mil 5 kwa kwenda appearance Marekani. .. Malaysia... Dubai... London... Uganda... Tanzania... Rwanda.... Abudhabi
Nikienda kufanya mziki Nigeria kwa mwaka naingiza dola mil 3
Matumizi yangu kwa mwezi pale nyumbani ni solar 3000
Vacations zangu kwa mwaka ni dola mil 2
Nikienda kumwona dokta London kwa ajili ya kuangaliwa ngozi yangu kama imechuja au ipo na standard natumia dola 25,000
Bado matibabu
Bado sijaenda Korea... bado sijafanya shopping America kwa ajili ya nguo
Bado sijaweka fuel.kwa gari yangu vogue na kufanya service
Kama unadhani hela zako zinaweza kukutana na hela zangu na ukanitunza hii ni business card yangu tuwasiliane ina namba yangu binafsi
Otherwise nakutakia maisha mema hasa na hio restructuring ya nchi yenu ambayo kwetu ilishatokeaga miaka ya 87 mpaka mje kukutana na standard ya Kenya itachukua miss 20 ijayo kama mtakuwa na Raisi Serious kama Mlienae sasa mtatifikia kimaisha miaka 30 ijayo"
Mara akaja mtu kumchukua Vera wakaondoka akimwacha Shommy amelowaa jasho kwenye a/c ya hotel huku macho yanamdondoka kwa kushangaa wowowo la mtoto Sidikaaa. ..
Je unadhani Shommy alikosea kwenye kutongozaaa? !
Ungependa Shommy ajirekebishe wapi kwenye kutongoza kabla hajampigia simu Vera Sidikaaa?!
Toa maoni yako kwenye comment hapa chini ukisubiri kesho tar 30 Dec 2017 saa 10 kamili jioni majibu niliompa Shommy ya jinsi ya Kumtomgoza mtoto mkalii kama Vera Sidika
Msaidieni mjeda mwenzenu jamaaa hajajua wapi kakoseaaa bado anataka kumuwowa Vera Sidikaa kaka wa watu wa kipare sio mbahili jamaaa