Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Aiseee.....

Sijawagi kutongoza, inajunuisha mke wangu ila vita niliyonayo ni kukabiliana na kuwakwepa warembo. Sina pesa wala chochote cha kuwahadaa zaidi ya kuwathamini na kuwasijiliza tunapokua kwenye maongezi ya kawaida.

Mambo ya kufanya utongozaji kama jambo kuubwa linalohitaji vikai vya senator hayapo, hasa kwa watu wazima. Kosa kubwa wanaume tunafikiri mwanamke anavutiwa na mali, utajiri au vitu. Mwanamke anaejitambua ukianza mbwembwe anakuona unaushama kama sio utoto.

Huyo mpare alikosea kuibgia kwa gia ya mali zake na kufunguka moja kwa moja kwamba anampenda mrembo, unampendaje mtu haumjui?

huu wimbo una mistari balaa!

Kwa somo hili naomba nami nikutongoze, chagua hapa au dm..? 🙂🙂🙂

Mpitage na huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Naamini ukimtongoza mwanamke its not what you say, its about how you say it, mm sina tantalila nyingi, mm na-target mademu ambao naona wako more likely kunikubalia, utakuta demu hana shobo na mm walau hata kujibu text yangu inampa shida, sasa hapo nkitongoza si natafta kibuti tu, kuhusu mda wa kutongoza, mm demu akinizungusha mda mrefu, na-assume kuwa hanipendi na pehaps anataka kuniweka spare tyre, friendzone, au kunichuna pesa nkiona hivo mm nasepa fasta. Kama mwanamke kavutiwa na ww atakukubali tu, hata ukimtongoza kijinga and u will get away with many things, kama mwanamke ni wa kukukatalia atakataa hata uje na maneno yapi, labda akuweke ili akuchune pesa Money Penny
 
kakosea hata kama una utajiri uache
ujionyeshe wenyewe

Ilikuwa 10/5/2017, kulikuwa na match ya nusu fainali UEFA kati ya A.Madrid na R.Madrid, nilifika pale samaki samaki match ikiwa imeshatangulia kama dk 20, so nilikuwa na mzuka mkubwa wa kutafuta seat na kuangalia, katika tafuta tafuta jicho likatua kwa mtoto mmoja mkali vibaya ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo walikuwa wanasherehekea hapo na rafiki zake, akili iliruka kwa sekunde kadhaa nikimtizama bila kufikiria kitu chochote, nikaona kuna kiti tupu jiran tuu na alipokaa nikaelekea hapo.

Suala zima la kuangalia mpira liliishia hapo, tamaa ikanijaa nikasoma mazingira nikaona kabisa katika washkaj waliokuwepo hamna jamaa yake, nikamgusa kidogo kwenye bega alivyoniangalia nikaongea bila kutoa sauti, Happy birthday, alisoma lips akajibu the same way thank you aka smile.

Muudumu kaja nikaagiza konyagi yangu chupa ndogo kama kawaida yangu...

appearance yangu, black, mtanashati na nina kakitambi cha pombe na kitimoto, nilikuwa nimevaa short, tshirt na simple, na saa yangu Hublot Geneve (Fake) lakini zinauzwa TSH 250,000/= hapa bongo

be80142176ce5b56f46fbecca22ea237.jpg

Baada ya konyagi kuchanganya nikajikuta tuu ni mmoja wa tuliokuwa tunasherehekea birthday yake, nikampa kila mmoja kadi yangu na nilikuwa nimeshakunywa chupa 3 ndogo za konyagi mda nnaondoka na nilichangia katika bill yao 30K kwa kuwa nilikula mishkaki yao.

nimefika home mida ya saa 8, naona text umefika salama?ulikuwa umelewa [emoji26]...sikujibu nikalala, kesho asubh text, sijajibu eeehe jioni text i'm worried are you safe? nikasema kwisha kazi nilivyomaliza shughuli zangu nikampigia simu saa 4 usiku, na tuliongea utasema tunajua kwa mda mrefu

Nisiwachoshe, nimeoa juzi juzi na bado nipo nae na haelewi nae ni mmoja wa wale waliapa hawaniachi kitu marafiki zangu wananiona kama nina kidawa nimepataje mtoto mkali na hiki kitambi changu wananinanga nacho, siyo tajiri ila nina mademu wakali, mchaga kuhonga napo siyo kirahis rahis..

kutongoza ni sanaa
 
hehehehe sauti ya mnyonge hiii
haya bwana nashukuru
uje na huku usipitweee STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
doh! asante kwa Povu sweet heart ila sijakuelewa umemwoa birthday girl au demu mwengine kabisa

ushauri wako ndio niliompa kakako wa kipare... ila ki classic zaidi... tuonane kesho kwa majibu kamili

uje na huku ujionee vitukooo STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
nchi ipi imepondwaaa?

onyesha wapi nimeponda nchi labda?! kwani uongo wao walianza kazi tuu mwaka wa 87...

ukimaliza uje na huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
hapana tulianza kupiga kazi tangu kipindi cha five years development plan 1960s mpaka Ujamaa na kujitegemea so unaposema [HASHTAG]#reconstruction[/HASHTAG] tumeanza juzi unakosea sana ndugu yangu
 
Mbona huyo anatongozeka kirahisi sana kwangu sema natafutaga chance km hizi zinaendaga kwa wasio mafundi..
Alichokosea hapo ni kuanza kujisifia hela bullshit hizi style za kizaman sana nowadays ni action tu .
Mtt km huyo hutakiwi pupa eti me shabiki so wat.

.
 
ahahaha kwahiyo wewe mwanaume mashine sio?

njoo huku uone wanandoa wanavyokula nchi STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Back
Top Bottom