Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,818
HABARI WAKUU UKIWA UMEJIPUMZISHA KUTOKANA NA KAZI ZA HAPA NAPALE NIVYEMA KUCHANGAMSHA MIND SASA NIMELETA HAKA KASTORI ILI TUPOTEZE MUDA WA KULALA
Unaambiwa alikuwapo m bongo , mchina na mkorea sasa siku moja walikamatwa mateka wakapewa masharti ambayo ukifanikiwa unaachiliwa huru
Wakaambiwa: nendeni msituni kila mmoja alete tunda lolote wakaenda wakwanza kufika alikuwa ni mchina na mkorea sasa mchina alikuja na dhabibu akaambiwa ale mpaka amalize alafu wakati unakula usicheke wala kuguna sasa mchina wakati anakula akaangua kicheko waka muuwa ikafata dhamu ya mkorea mkorea alikuja na machungwa akaambiwa ale hivyo hivyo mazima mazima akaanza kula akaguna wakamuuwa sasa walipofika akhera mkorea akamuuliza mchina mbona wewe ulikuja na dhabibu ukashindwa kula ukaangua kicheko mchina akasema wakati nakuja nilikutana na m bongo anakuja na Matikiti maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]