Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

Amen brother, Mungu akubariki sana. kubwa nililojifunza ni kuishi vizuri na kila mtu, kufanya sala na maombi kwa kumaanisha Mungu hujibu na mengine mengi
 
Pa1 mkuu,mm ndio nimekutana nao majuzi kati nikashangaa nilipitwaje?
 
Binafsi pia napenda sana life stories kuna mengi ya kujifunza kupitia mapito watu wanayopitia
 
Hii stori imenigusa sana maana jamaa tumeanza naye chuo na mpaka siku ya graduation pale mlimani city kuna picha tulipiga, kiukweli maisha yetu yapo mikononi mwa Mwenyezi Mungu aliye juu mbinguni
 
Hii stori imenigusa sana maana jamaa tumeanza naye chuo na mpaka siku ya graduation pale mlimani city kuna picha tulipiga, kiukweli maisha yetu yapo mikononi mwa Mwenyezi Mungu aliye juu mbinguni
Primary tulipiga nae Usangi Kilimanjaro
 
2. Kipindi cha shida ndiyo utamjua ndugu yako na rafiki yako wa kweli[emoji106]

[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Heshima na kongole Sana kwako David

Kuna kitu umenifundisha mkuu

Shukrani
 
Binadamu hujafa hujaumbika
Tuzidi kuomba ulinzi kutoka kw mwenyezi mungu
 
Mungu atabakia kuwa Mungu tu, njia zake ni zake na zitabakia kuwa zake.
 
Nimesoma hii story na kujikuta nalia tu, huzuni na furaha zimenitoa machozi

Mungu ni mwema sana. Ukimuamini haijalishi mapito gani utayapitia
Kwa kweli hata mimi nimesoma huku machozi yananitoka tu. Mungu ni mwema na kila wakati tusichoke kumtegemea
 
Bro popote ulipo wewe ni maisha yako ni inspiration tosha......hii stori inatosha kuamsha ndoto zilizolala...mwiko kukata tamaa
 
Nimeikumbuka harusi yao ilikiki sana na maneno yalikuwa mengi sana.

Lakini shujaa katika hii story nzima ni dada yake David, Iddah. Mungu ambariki sana.
 
Mungu azidi kumpigan8 mja qake. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…