Stori ya Kweli: Nguvu za kiume za mume wangu

Stori ya Kweli: Nguvu za kiume za mume wangu

Msimuliaji anadai yeye KE lakini uandishi na maelezo yanaonekana ya kiume!!
 
Ko jamaa ana kibamiwise???????dah Wahuni hatuna vyetu ila ukinasa show zetu ni kama tunalipa kisasi cha msoto,wenye nazo hawana show ,Mungu hakupi vyotee asee..komaa nae tu huyo ni mumeo sister
 
Kwahiyo tuseme na wewe umeolewa?
Mwanaume unakuwa na mume?
How yaani???
Innalillah wainnalillah rajiuun
 
Daah!Wanaume tunazidi Kupungua,Hivi Inakuwaje Mwanaume Anapata Uwezo Wa Kuandika Thread akijifanya Yeye Ni Wa Kike,Tena Ndani ya Thread anajitapa Kapigwa Show Ya Maana Na Dan.
 
Back
Top Bottom