Ilikuaje nor
aisee umekata utamusio mara moja au mbili au tatu, nawaona katika sehemu tofauti tofauti, niliwahi jichanganya once pale zamani bills, lakini kwa sasa si mpenzi wa kwenda club tena, mambo yanabana...ilikuwaje? niliingia kwenye kumi na nane za mcharuko KAISHKA, jinni fundi...anyway ngoja niendelee kusoma ya wenzangu...sipendi kuizungumzia hii..
Pacha ako sepenga![emoji116][emoji5][emoji5][emoji5]Dah! aiseee we mtu!
Tililika mkuusio mara moja au mbili au tatu, nawaona katika sehemu tofauti tofauti, niliwahi jichanganya once pale zamani bills, lakini kwa sasa si mpenzi wa kwenda club tena, mambo yanabana...ilikuwaje? niliingia kwenye kumi na nane za mcharuko KAISHKA, jinni fundi...anyway ngoja niendelee kusoma ya wenzangu...sipendi kuizungumzia hii..
Hapana sina allergy na clubMkuu una allergy na club?
katikati ya mwaka huuMara ya mwisho lini kwenda!