Stories za nightclub!

Nimeenda na demu club maisha wakati natoka kuna mabwege wakanizunguka et demu wetu huyu,,,kilinuka cku hyo
 
I hustle by my own,kwanini nikiwanazo kwanini nisifanye kitu nachokipenda!! Yaani naenda kwa raha zangu zote,nakunywa nacheza nikichoka narudi.
That's my life[emoji16][emoji16][emoji16]
Unaenda kunaniliwa. .

Au unaenda na mwenza??

Sina maana hiyo
 
dah nakumbuka ilikuwa 2003 nilikuwa club moja hivi inaitwa linaz huko bk, sasa jamaa wamejiachia imefika mida ya saa sita hivi akatokea dada mmoja hivi mweupe mrefu kidogo akaniomba nimsindikize aelekee stendi ambako angepata tax ya kuelekea kwao basi mimi nikaongoza njia yule dada akawa ananifuata kwa nyuma huku tunapiga story, ikafika sehemu nikaacha kumuongelesha yule dada mimi nikakaza mwendo nikijua dada yuko nyuma yangu, ile nakalibia stendi sasa nasimama ili nimwambie dada mimi narudi club tumefikaa. .....nageuka nyuma ghafla sioni mtu naangaza huku na kule sioni yule dada alipopotelea. ............duh sijui majini club huwa yanafata nini?
 
Daah ingekuwa Mimi hilo vaagi lingezimwa na defender.

Cc Madame B
Hahahahhahah
Umenikumbusha kovu nililomuachia mhindi pale Masai Club mwaka 2015.
Nilipigwa stop ya miezi 6 kukanyaga.
Basi nikawa naingia kitemi tu hivohivo.

Nakumbuka miezi 6 ilivyoisha tu...nikapigana na yule shoga anajiita Kaoge....
Ila hapa mwenye kosa alikuwa Kaoge hivo hawakunizuia.
Ila vagi ambao sitakaa nilisahau ni la pale Isumba.
Nilimfumania boy wangu akiwa na changu wa pale Jolly.
Aisee...nililala central wiki nzima huku yule demu yuko Muhimbili.
Nashukuru alipona japo sijui kama akili zilikuwa sawa maana nilimbonda na mzinga wa Konyagi ukampasukia kichwani.
At the end, nikatoka central kwa gharama za huyohuyo boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…