Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie
nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani
Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
Daah ingekuwa Mimi hilo vaagi lingezimwa na defender.
Cc Madame B