Stories za nightclub!

Stories za nightclub!

Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie

nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani

Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.

Daah ingekuwa Mimi hilo vaagi lingezimwa na defender.

Cc Madame B
 
Namskia saana huyu jamaa
....mimi nilianza clubs nipo under 18.

Nakumbuka siku nililazimisha kuingia baunsa alinidunda mateke hadi leo huyo mzee hatuelewani.
Wewe acha enzi hizo Mbowe ana curl kit na jina tulilolizoea ni Free.
 
Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie

nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani

Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
Best aliamua kukataa hela kisa ww kweli mmeshibana ww na best wako
 
Mkuu club napenda ila toka niwe mkoa wa Mji kasoro bahari sitamani hata kwenda ...unaenda club ujikuta mpo watu kumi yaani club barid kali kama.......
Aisee kweli bhana niliwahi kwenda club moja kyaka bukoba nilikuwa njian kuelekea Kampala nikalala hapo lodge usiku nikazama ka club kamoja watu Wa kuhesabu mademu wawili watatu nikaka muda Wa saa nane hivi nikamtongoza meneja Wa kike Wa ile club nikaenda kumega lodge!
 
Bahati yako mkuu kwingne unakuta hata meneja ni wakiume
 
Siku hizi club nying... Zinaboa coz wadada wana njaa sana.. Wanaforce sana kununuliwa beer... Juzi nilkuwa royal club tmk Sudan.. Dah hatare wana njaa balaaa
 
Back
Top Bottom