Story chini ya kapeti wema na daimond wamerudiana

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Wale wambea wenzangu team zarimond,sijui watahamia wapi maana story za chini kwa chini mahaba yamerudi na yule wa south kapumzishwa

Yasemekana mpira umerudi kwa kipa(wema)ila kwa sharti la kuolewa hvyo yale madongo ya mama dangote ilikua ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mama watano
Bibi wema siku hizi anashinda gym ili aweze kufanana na kina sweet 16 kidogo!!na wakifuatana na daimond waendane
Siku ya bday ya mondi queen darlin alipigana na wema kwa kua hataki kaka ake awe na wema

Ila Wema kama utarudi kwa baba dii sawa coz mapenzi ni ya wawili ila daahh;shame on uuu!!!daimond no longer in love wit u ila anataka kumantain umaarufu wake na jua kabisa ni baba wa watoto wa3 wa south na Tz
My advice;ungepambana na hali yako tu my Dada kuliko hyo ya kutaka uwakomeshe team Fulani mwanaume anaekupenda kweli hawez kua hvyo

Simchukii Wema,Zari wala hamisa ila kwa hili nawaonea huruma team yako aiseee sijui watajificha wapi kkaaah!
Ungemuacha tu dai apambane na wazazi wenziwe umeonyesha weakness kubwa mnoo kua kumbe siku zote ulikua unamtamani baba dee!
Loohhj!pole wema na usishangae asikuoe pia!
 
Ndio kwanza 22 years old, mwacheni ale maisha akizeeka atahadithia nini?
 
Hii stori ina muda mbona alianzisha Mange akidai Wema amerudiana Diamond na anaishi Madale siku hizi, lakini Wema alishakanusha... Hizi drama sijui nani huwa anaanzisha daaah ukikaa kidogo tu mara hili mara lile yaaani wapenda ubuyu wanafurahiii....
 
Hii stori ina muda mbona alianzisha Mange akidai Wema amerudiana Diamond na anaishi Madale siku hizi, lakini Wema alishakanusha... Hizi drama sijui nani huwa anaanzisha daaah ukikaa kidogo tu mara hili mara lile yaaani wapenda ubuyu wanafurahiii....
Ukweli ndo uko hvyoo!!yaani jiulze why darlin apigane na wema?

Hata mimi sitamani warudiane kwa kweli
 
Hahahahaaaaaa awaoe tu wote,litakua bonge moja la series kupata kutokea........na hz social media full kuburudika.
Alafu tigo,voda n air tel kila mmoja ajichukulie ambassador wake si kwa jinsi tutakavyokua tunanunua bando.kila team na line zao

Naomba nilipwe kwa idea hii
 
Ukweli ndo uko hvyoo!!yaani jiulze why darlin apigane na wema?

Hata mimi sitamani warudiane kwa kweli
Kurudiana kwao kunaanzaga kiutani utani ivi........Mara paaaap hawa hapa wadendeka kwny mipicha Tao

Km namuona idrisa anavyougulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…