Story chini ya kapeti wema na daimond wamerudiana

Ni mara ya kwanza kusoma THREAD inayomuhusu Diamond,wema na wasanii wengine.Kwangu mimi nimeona nimepoteza muda wangu na nimefanya makosa kusoma hii thread.Sisi tunazo dini zetu na hizi dini zinakataza usharati/uzinifu na mambo kama hayo.Kushabikia huu uchafu sioni kama utatusogeza mbele kwenye maendeleo.
Kama nimewakwaza nisameheni bila kunitusi.
 
Wema nae hua haeleweki n mambo yake mengi kama unga wa ngano
 
Ni mara ya kwanza kusoma THREAD inayomuhusu Diamond,wema na wasanii wengine.Kwangu mimi nimeona nimepoteza muda wangu na nimefanya makosa kusoma hii thread.Sisi tunazo dini zetu na hizi dini zinakataza usharati/uzinifu na mambo kama hayo.Kushabikia huu uchafu sioni kama utatusogeza mbele kwenye maendeleo.
Kama nimewakwaza nisameheni bila kunitusi.
Pole sana mkuu yani nimekuonea huruma kabisa hasa ulipo comment.
Pole sana kwa kupoteza muda wako na nimegundua uwa husomi kuhusu wema na diamond lakini unawajua sijui umewajulia ndotoni.
Pole sana tena sana mkuu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wewe sio wa nchi hii
 
Back
Top Bottom