Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba ya miaka yote hiyo? Hajajifungua tuuu?Na mimba inayosemekana anayo ni ya Diamond?
Mimba ya mmbaba mmoja af tena hana mimba. Ni kwamba mimi ndo kilaza au ulitaka kusema nini hapa madameMimba ya mbaba mmoja hana mimba kutwa anashinda gym siku hz
Wewe big mind umeanzaje kufungua uzi wa udaku?Small minds mnapenda udaku
Pole sana mkuu yani nimekuonea huruma kabisa hasa ulipo comment.Ni mara ya kwanza kusoma THREAD inayomuhusu Diamond,wema na wasanii wengine.Kwangu mimi nimeona nimepoteza muda wangu na nimefanya makosa kusoma hii thread.Sisi tunazo dini zetu na hizi dini zinakataza usharati/uzinifu na mambo kama hayo.Kushabikia huu uchafu sioni kama utatusogeza mbele kwenye maendeleo.
Kama nimewakwaza nisameheni bila kunitusi.
Pole sana mkuu yani nimekuonea huruma kabisa hasa ulipo comment.
Pole sana kwa kupoteza muda wako na nimegundua uwa husomi kuhusu wema na diamond lakini unawajua sijui umewajulia ndotoni.
Pole sana tena sana mkuu