Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 279
SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE
Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji.
Kufika katika lile jingo la upasuaji ndani akamkuta baba mmoja na mwanae wa kiume wakimsubiri daktari.
Basi dokta alivyoingia tu na kumuona yule baba na mwanae huku ajiandaa kwa kazi iliyomleta pale, lakini bila kutarajia bila hata ya salamu yule mzee akaanza kumfokea yule dokta
“Kwanini umechukua muda wote huo hadi kuja? Hujui kwamba maisha ya mwanangu yapo katika hatari?
Hivi unayajua
majukumu yako kweli wewe?”
Maajabu yule dokta akatabasamu nakusema “Nisamehe, Sikuepo hapa hospitalini na nimekuja haraka iwezekanavyo baada ya kupigiwa simu, hivyo sasa ingepedeza ukatulia ili kwamba nifanye kazi yangu”
“Nitulie?! Je angekua ni mtoto wako yupo katika chumba cha upasuaji sasaivi ungetulia? Je kama mtoto wako anakufa wakatiakimsubiri dokta, Je hapo utafanyaje?” yule mzee aliongea kwa hasira na chuki.
Dokta akatabasamu tena na kujibu “Tutafanya kadri tuwezavyo kwa uwezowa Mungu, Na pia unatakiwa uombe kwajili ya afya ya mwanao ili tuokeo maisha yake”
“Kutoa ushauri wakati hatutakiwi kufanya hivyo ni rahisi sana” Yule mzee alinung’unika mwenyewe wakati dokta akielekea katika chumba cha upasuaji.
Upasuaji ulichukua masaa kadhaa na baada ya hapo dokta alitoka akiwa mwenye furaha sana, akamwambia yule mzee kuwa
“Ashukuriwe Mungu, Kijana wako tumeweza kuokoa maisha yake” Na bila kusubiri jibu lolote kutoka kwa yule mzee dokta aliondoka huku akisema “Kama kuna swali lolote, Muulize Nesi”
“Kwanini andharau hivi? Yani hawqezi hata kusubiri dakika kadhaa ili nimuulize kuhusu hali ya mwanangu” Aliongea yule baba wakati akionana na Nesi mara baada ya dokata kuondoka.
Nesi alijibu, machozi yalimdondoka usoni mwake akisema “Mtoto wake na dokta alikufa jana katika ajali ya barabarani, Hivyoalikua msibani wakati tunampigia simu kwajili ya upasuaji wa mwanao. Na sasa ameokoa maisha ya mwanao anawahi kumalizia mazishi ya mwanae”
Yule baba alianza kulengwa lengwa na machozi akihisi unyonge kwa kumfokea yule dokta, lakini alikua ashachelewa hawezi tena kuyabadilisha aliyokwishayasema.
JIFUNZE: Kamwe usimjaji yoyote kwsababu huwezi jua namna maisha yake yalivyo na ni kipi kinaendela katika maisha yake.
WATAG WOTE AMBAO WANAKURUPUKA, AMABO HAWAFIKIRII KABLA YA KUTENDA JAMBO. KAMA UMEJIFUNZA KITU LIKE YAKO NA SHARE KWA WINGI ILI IWAFIKIE WENGINE.
Man Middo Tz