Story kutoka KENYA

Story kutoka KENYA

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Hamjambooni wote. Mimi niko sawa, hata baridi imekwisa siku hizi.

Sasa nataka kuwapatia kisa kimoja.

Sasa kuna huyo dame anaitwo Gathoni alikuwa ameolewa na mjaka. Gathoni samani alikuwa ni Malaya tuu anaishi sijui hapo panaitwo Kwa Maina hapo Kayole. Kwao ushago ni hapo Banana ukipita Ruaka.

Harafu wakaonana na huyo mjaka anaitwo Tom. Jamaa mpoa sana alikuwa mechanik hapo Jogoo road wanatengesa Marsides na BMW. Tom na Gathoni walikuwa wanaishi hapo makadara, lakini turijuliana Tents. Haki Tom alikuwa mpoa hata akinikuta Tents Pilsner tano sinaanguka hapo hapo. Harafu alikuwa anaangalia Gathoni kama maraika. Nyumba yao, Ngai! Kata friddgy kurikuwa!

Sasa, wiki tatu hivi, wakora wamepiga Tom kwa kichwa na chuma akakufa. Sijui nikumuonea tuu. Alisikwo kwao jusi sijui kunaitwo Mijori ama Migore, sijui. Sasa Gathoni anasema brother wa Tom wanamusubua sana. Mumoja anataka kuishi huko kwao. Tena anamwabia hiyo vitu yote kwa nyumba ni yao, imagin!

Harafu wakati warieda kuzika Tom, Gathoni akaabiwo anyoe nywele yote na asikure nyama sijui ya nini mwezi musima.

Harafu Gathoni anaogopa ataabiwo na hao watu wa Tom aoe ndugu ya Tomu. Na sasa arikuwa amesaa mutoto mmumoja anaitwo Benard Onyango na sasa wasasi wake wanamwabia amwite Beranard Wanyoike kama baba yake.

Sasa Gathoni amechanganyikiwo sana. Sijui nimwabie nini?

Aniway, leo sina mabo mingi. kwasa niko broke sana. bye bye.
 
Nimecheka haswa...
Mtoto wa mwanamke alizaa na bwana mwingine miaka saba iliyopita,
ndugu wa bwana mpya wanataka kumrithi na kumbadilisha jina.
 
Duh! Kiswhili hiki sijui cha wapi! Ndo cha EAC?? Sijaelewa kitu mie.
 
Wenzetu hawa na lugha yao mbovu eti ndio wanaongoza kwa kuajiriwa nje kama wataalamu wa kiswahili.
Watanzanzania kweli tumelala.
 
Iko stori Poa..japo inatake minutes kui-undastand..
 
uyo ukienda kenya atakwambia mkenya msomi kuliko mtz, mkenya ana akili kuliko mtz....yaani yuko unique kabisa na jf wote..kama anafanana labda na malaria sugu peke yake..ajabu! thats all he has in his mind..
 
Back
Top Bottom