Story: Mtu chake...

Story: Mtu chake...

Mkule kwen
Moneypenny kwenye website yako hujamalizia , mashabiki wako tulienda hadi kwenye website yako ukahaidi utamalizia December 2019 ila naona hadi sasa hivi hujamalizia.. malizia basi na corona hii tungekuwa tunasoma story zako tuu.. nothing else..
 
Sawa boss nitamalizia wiki ijayo 🙏
 
Money penny tumalizie basi story ya MTU CHAKE kwenye website yako kule.. tushasubiri sana money penny.. tunataka kujua JITU vipi..
 
Asante money penny. Story ina vikorombwezo balaa
Ila in reality kama haiwezekani kutoa go ahead ili shogaako atembee na mume wako, au labda na wewe mke una mchepuko wako
 
Back
Top Bottom