SoC04 Story of change

SoC04 Story of change

Tanzania Tuitakayo competition threads

suwifred

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
8
Reaction score
3
Utamaduni wa watu kuzika watu kwenye makaburi ya zege unamadhara makubwa kwenye mabadiliko ya hali ya hewa. Binadamu na wanyama tunakula mazao ya ardhini,tumekata ecosystem kwa kutorudisha vinyesi kwa sababu za kiafya japo kuna namna itabidi tuirudishe. Lakini mbaya zaidi kitendo cha kutozikwa moja kwa moja kwenye udongo na kuruhusu miili kuozea humo, kunaikosesha ardhi kilichochake na ata tukipanda miti kiasi gani rutuba ya ardhi inapungua na kupelekea mabadiko hasi ya hali ya hewa. Sheria ziwekwe kuzuia tabia hii ya mazishi iliyo kinyume na asili na adui wa mazingira kwa ujumla. Tusione ni ufahali bali ni umaskini wa kifikra.
 
Upvote 4
Back
Top Bottom