Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wanajua kutunga story za kujifagilia.
Nice story MR, nimeipenda inafundisho ndani yake.
Huyo njemba alijibu safi sana. Nampa tano.
Wanawake huwa wanadhani kwamba kuna siku watapata mwanaume "perfect", bila kujua kwamba hakuna binadamu aliye mkamilifu. Mwanamke aliandika hiyo "reflection paper" yake akidhani kwamba kwa kuorodhesha hayo yote yatamsaidia kumbadilisha mpenzi wake ili awe kama yeye (mwanamke) anavyotaka!
Its good to know each other's weaknesses and learn to complement each other in strength and weakness.
that is so touching wat a love that guy has for his wife...
Hvii kweli mtu akwambie eti andika mambo usiyopenda toka kwa G/B fried, mchumba, mume. nahisi unaweza andika uka-faint. Mambo kama Uongo, wizi, umalaya hayo ni kuzungumziwa haraka sana na kila mara ili mtu ajue kwamba hiyo tabia siyo nzuri. Mtu ni mwizi na hukujua wakati mnaona huwezi kufumba macho eti kumbadilisha ni fake.
Jamani we need to have time for each other. Familia nyingine ukuliza mume na mke walikaa wakaongea lini hawakumbuki. Sasa kweli familia zetu tunaziboost vipi kama hatukai kuzungumza hata vile vitatizo vidogo ili tubadilishe style. Kuongoea mara kwa mara tungepunguza migogoro ya kupelekana kwa wazazi au kwa marafiki kusuluhisha.
Jifunze kuzungumza!
Hii safi sana MARIA ROZA,
BRAVO kwa jibu la MWANAUME,
Mtu binafsi kubadilika inawezekana ukiamua, lakin KUMBADILISHA MTU MWINGINE NA HASA MTU MZIMA NI KAZI NGUMU.
MPENDE NA MVUMILIE ALIVYO. NO ONE IS PERFECT IN THIS WORLD.
Mwenzetu aliumbuka