mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mkuu yani Sijaelewa kabisa Hebu fafanua kidogo.Ilikuwa jioni tulivu , Kijana maridadi alikuwa ndani ya gari lake. Njiani ghafla alikutana na paka mdogo Kati Kati ya bara bara. Huruma ikamjia akapaki gari lake pembeni akamwendea yule paka. Maskini kijana huyu hakujua Kama paka mzima ama amekufa. Akamgusa lakini hakushtuka, Akamgusa tena natena Akamgusa.
Kama nilivyo kueleza habari hii ni ya kugusa hivyo imefikia mwisho wake!
utaelewa tuu wee utaelewaa wenzako wanaielewa STORY YA KUGUSAAAMkuu yani Sijaelewa kabisa Hebu fafanua kidogo.