STORY YA KUGUSA SANA.

STORY YA KUGUSA SANA.

The Professor

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
2,221
Reaction score
4,564
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena. Kama nilivyosema stori ni ya kugusa sana.
 
Back
Top Bottom