Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Stuxnet ...
 
To date the revolutionary government hasn't apologised to the families whom lost their loved ones on 12 January 1964. Instead the genocidal events are lavishly celebrated annually by the government of the Island of Zanzibar.
Kwanini hili neno bado linatumika mpaka sasa na utawala wa Zenji ?.......hili neno liondolewe tu iitwe serikali ya Zanzibar.
 
Nimeipenda hii picha
 
To date the revolutionary government hasn't apologised to the families whom lost their loved ones on 12 January 1964. Instead the genocidal events are lavishly celebrated annually by the government of the Island of Zanzibar.
Kwahiyo hawafurahii yanavyoitwa mapinduzi "matukufu" bali mauaji ya kimbari.

Balozi wa Oman huwa hahudhuria sherehe hizo kwa mwaliko?
 
Ushahidi tafadhali kama alitumwa na Nyerere.
mkuu kwa maarifa yako wewe unahisi alikuwa involved vipi na suala zima la mapinduzi? story za kuwa katoka kijijini kwao uganda mpaka kwenye nchi ya watu alafu kijana chini ya miaka 30 within 5 years akafanya mapinduzi kwenye nchi ya watu ni story za kijiweni ambazo hata mtoto wa miaka 18 haziwezi kumuingia.
 
tunajua ni chai ungeacha tu, ilikuwa ishafunika story za lissu na jamaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…