pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,229
- Thread starter
-
- #21
Hata kama, ila ndo ana kazi sana, kutetea namba yake tena pale,Manula alipata majeraha kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Harambe stars.
Kaseja na Manula hawana tofauti kubwa sana kihivyo kama ni penalty manula huwa anazicheza nyingi tu kama kaseja.
Manula ni mzuri kwenye one against one situation kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye long balls kuliko manula.
Manula ni mzuri kucheza krosi kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye kucheza dead balls kuliko Manula.
Wote wanauwezo mzuri kucheza mipira ya chini kwa kiwango kinachofanana.
Concentration uwanjani kaseja anamzidi manula ndiyo maana Manula hufungwa magoli mengi ya kushitukiza.
Manula anaongea vizuri na defence kuliko kaseja ndiyo maana makosa ya defence akiwepo kaseja yanakuwa mengi hata jana miscommunication uwanjani ndiyo iliyosababisha goli la Burundi.
Anticipation manula ni mzuri kuliko Kaseja ndiyo maana manula hafungwi goli nyingi za one against one situation.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Huyo manula toka alipopewa nafasi siku ya kwanza national team hajawahi temwa for 4 years now utasemaje Hafai ?
Tuache ushabiki mandazi
Hata mtoto mdogo, hatakubali Mechi muhimu apewe Manula Kaseja aachwe