Hapa mjadala sio kipa yupi mzuri hapa ninachokiona ni mashabiki wa simba kumtetea Manula,na washabiki wa Yanga kumtetea Kaseja na kumponda Manula,kiukweli hakuna kipa asie na mapungufu ila ni ajabu sana leo watu kusema Manula ni mbovu wakati Afcon sio Tz tu ila wapenda mpira wote walimsifia,na orodha ilitoka alikuwa ktk makipa waliookoa sana akiwa na kazapua,mashabiki mnaomtetea kaseja kwa kumponda Manula,naomba mkumbuke Kaseja leo hii akiwekewa timu mbili achague atachagua simba! Ndio kwao! Jamani wengine sio kila kitu mnajua,siasa mpo,dini mpo,sijui wapi mpo! Aaaaaaaagh vingine piteni kimya bhana! Makundi yametoka tupo na senegal