Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

Juma ni kipa bora wa muda wote Tz,ila timu za kariakoo ndizo zinazostaafisha wachezaji mapema sana,yaani wakikukataa tu nawewe ukakosa msimamo lazima upotee kweli
Kaseja ana tatizo lake kubwa la kuchukua h.... Na ndilo lililosababisha Simba wamuache.
 
Subirini mechi ya Simba na KMC tutamtungua huyo Kaseja wenu mpaka mtamkataa.
 
Kaseja ana tatizo lake kubwa la kuchukua h.... Na ndilo lililosababisha Simba wamuache.
Hizo ndiyo story za vijiweni,Kaseja huwa hababaishwi na viongozi wa kkoo ndiyo maana wanamuona jeuri maana hataki ujinga
 
Manula alipata majeraha kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Harambe stars.

Kaseja na Manula hawana tofauti kubwa sana kihivyo kama ni penalty manula huwa anazicheza nyingi tu kama kaseja.

Manula ni mzuri kwenye one against one situation kuliko kaseja.

Kaseja ni Bora kwenye long balls kuliko manula.

Manula ni mzuri kucheza krosi kuliko kaseja.

Kaseja ni Bora kwenye kucheza dead balls kuliko Manula.

Wote wanauwezo mzuri kucheza mipira ya chini kwa kiwango kinachofanana.

Concentration uwanjani kaseja anamzidi manula ndiyo maana Manula hufungwa magoli mengi ya kushitukiza.

Manula anaongea vizuri na defence kuliko kaseja ndiyo maana makosa ya defence akiwepo kaseja yanakuwa mengi hata jana miscommunication uwanjani ndiyo iliyosababisha goli la Burundi.

Anticipation manula ni mzuri kuliko Kaseja ndiyo maana manula hafungwi goli nyingi za one against one situation.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Huyo manula toka alipopewa nafasi siku ya kwanza national team hajawahi temwa for 4 years now utasemaje Hafai ?

Tuache ushabiki mandazi
Wewe unajua Mpira wa miguu, umechambua vizuri. Mashabiki wengi wa Tanzania Wana mihemko na wafuata upepo.
 
Tulisema Amunike alikuwa hana muda wa kuwafahamu wachezaji na inawezekana alikuwa anawekewe majina ya starz mezani. Hii combination ya makocha wazawa na huyu mrudi ambae kafundisha timu zetu na bado anafundisha hapa nchini imeonyesha ahueni kwa team yetu stars ata kama jana wangetolewa lakini walipambana tofauti na kikosi cha Mnageria.
 
Kaseja hoyeeee!! Wenye wivu wakale matapishi ya walevi centralll
 
Ni kweli, ila bado alikuwa ana nafasi ya kuwatumia makocha wazawa, lakini kama alikaa nao mbali wangemsaidia vipi?
Tulisema Amunike alikuwa hana muda wa kuwafahamu wachezaji na inawezekana alikuwa anawekewe majina ya starz mezani. Hii combination ya makocha wazawa na huyu mrudi ambae kafundisha timu zetu na bado anafundisha hapa nchini imeonyesha ahueni kwa team yetu stars ata kama jana wangetolewa lakini walipambana tofauti na kikosi cha Mnageria.
 
Baada ya Kaseja kutupwa na vilabu vikubwa na kutimkia Kagera nilipata nafasi siku moja kushuhudia mechi moja ya ligi kuu na golini alikuwepo Kaseja.
Kwa namna alivyocheza ni wazi umri si hoja kwani aliweza kufanya kazi ambayo inatakiwa ifanywe na golikipa yeyote yule akiwa langoni kwake.
Alipokuja KMC nilifurahi kuona akiwa yule yule wa siku zote awapo golini, Sikuwahi kukubali kuwa Aishi Manula ni golikipa namba moja hapa nchini.
Ukiondoa Juma Kaseja basi golikipa mwingine mwenye uwezo wa kufanya maajabu langoni ni Kakolanya.
Manula alipata bahati japo siyo kipa wa kutisha awapo golini, ana mapungufu mengi.
Juma Kaseja.
Beno Kakolanya.
Metacha Mnata.
Umesema vyema mkuu.. ila kumuweka Mnata hapo sijui umempandishaje?
Mnata ana safari ndefu kutuaminisha kama ni kipa mzuri ila hajafika kuwa hapo.
Kaseja
Manula
Beno
 
Hapa mjadala sio kipa yupi mzuri hapa ninachokiona ni mashabiki wa simba kumtetea Manula,na washabiki wa Yanga kumtetea Kaseja na kumponda Manula,kiukweli hakuna kipa asie na mapungufu ila ni ajabu sana leo watu kusema Manula ni mbovu wakati Afcon sio Tz tu ila wapenda mpira wote walimsifia,na orodha ilitoka alikuwa ktk makipa waliookoa sana akiwa na kazapua,mashabiki mnaomtetea kaseja kwa kumponda Manula,naomba mkumbuke Kaseja leo hii akiwekewa timu mbili achague atachagua simba! Ndio kwao! Jamani wengine sio kila kitu mnajua,siasa mpo,dini mpo,sijui wapi mpo! Aaaaaaaagh vingine piteni kimya bhana! Makundi yametoka tupo na senegal
 
Buffoon kipawa chake kilishakwisha zamani tu!
Kaseja umeishi ukimwona tangu ujanani ujana gani huo?
.
Kaseja mpaka sasa bado ni kijana sio mzee yule.
Kipimo sahihi nimeshakitaja ambacho ni Sudan na timu itakapopangwa kwenye makundi ya FIFA
Unamjua buffon vizuri wewe!?
 
Manula alipata majeraha kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Harambe stars.

Kaseja na Manula hawana tofauti kubwa sana kihivyo kama ni penalty manula huwa anazicheza nyingi tu kama kaseja.

Manula ni mzuri kwenye one against one situation kuliko kaseja.

Kaseja ni Bora kwenye long balls kuliko manula.

Manula ni mzuri kucheza krosi kuliko kaseja.

Kaseja ni Bora kwenye kucheza dead balls kuliko Manula.

Wote wanauwezo mzuri kucheza mipira ya chini kwa kiwango kinachofanana.

Concentration uwanjani kaseja anamzidi manula ndiyo maana Manula hufungwa magoli mengi ya kushitukiza.

Manula anaongea vizuri na defence kuliko kaseja ndiyo maana makosa ya defence akiwepo kaseja yanakuwa mengi hata jana miscommunication uwanjani ndiyo iliyosababisha goli la Burundi.

Anticipation manula ni mzuri kuliko Kaseja ndiyo maana manula hafungwi goli nyingi za one against one situation.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Huyo manula toka alipopewa nafasi siku ya kwanza national team hajawahi temwa for 4 years now utasemaje Hafai ?

Tuache ushabiki mandazi
Jan tunaleta jangwani kaseja aje pension yake
 
Si yule wa PSG wanayemtungua sasa hivi watakavyo, au unamzungumzia yule aliyekuwa anachezea Juventus Turin?
.
Note; najua kama ni mtu mmoja
Unaongea tu,buffon sasa hivi ni kipa wa juve,huko psg alishaondoka,amerudi nyumbani,halafu huyo kipa wako manula yy atunguliwi?
 
Unaongea tu,buffon sasa hivi ni kipa wa juve,huko psg alishaondoka,amerudi nyumbani,halafu huyo kipa wako manula yy atunguliwi?
Mzee hapa hatuzungumzii siasa za Simba na Yanga hapa tunazungumzia uwezo wa Kaseja na ilitokana na Santino kubeza uwezo wa Manula kwa ngebe za kiwango cha lami kabisa.
.
Buffon alikuja kama reference na aliletwa na Santino nikamwambia buffon hana lolote alishakwisha zamani, na ndio maana hata wewe ulivyouliza namjua nikamtaja kama golikipa wa PSG kwanini? Toka arudi juve hajacheza mechi hata moja!
.
Mechi zake za mwisho kacheza akiwa PSG na wamemtungua sanaaaa Juve yupo yupo tu, sasa mjadala huu haumuhusu Manula unahusu uwezo wa Juma K Juma
 
Back
Top Bottom