Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

Kwanini alikuwa hachezi ?
 
Beno anahitaji muda kuaminiwa tofauti na Manula aliyeonyesha kitu Afcon + CCL.
Kaseja hata akidaka vibaya kwa sasa... hakuna kipa wa kumfikia kati ya hawa
 
Ila juzi Kaseja aliokoa mpira mmoja ulipigwa kitaalam dak za lala salama za Extra Time.Ule mpira ulielekea golini ukiwa unazuka huku ukizama (dipping ball) kuelekea golini.Kaseja aliruka juu sana na kuupiga ngumi na kuwa kona ambayo ilikuwa butu baadae.Sote uwanjani tulikuwa tumeshashika vichwa kusubiri "Kamba"
 
Ile ilikuwa hatari sana... na ubora wa kipa unatokana na save zake.
 
Manula mnataka approve kipi kumpita Kaseja ?

CAF tournaments
Caf champions league wote wameishia Quater final 2003 kaseja

2018_ 2019 manula kafika Champions league quater final

2019 Manula kacheza Afcon na kucheza Saves nyingi kuliko Golikipa mwingine yoyote katika mechi mbili tu

CECAFA.
2010 tulibeba kombe kwa Mkapa kaseja akicheza Penalty national team.

CECAFA challenges Manula amebeba mara moja akiwa na Azam.

Ligi kuu hope kaseja na title more than ten while mwenzake anazo tatu sasa hatujui atazibeba ngapi huko baadae.

Huyu bwana mdogo tusimbeze he is classy golini kaseja is excellent kwenye penalty shootouts.

Beno anahitaji muda kuaminiwa tofauti na Manula aliyeonyesha kitu Afcon + CCL.
Kaseja hata akidaka vibaya kwa sasa... hakuna kipa wa kumfikia kati ya hawa
 
Kwani Manula Ameokoa michomo mingapi katika team yetu hii dhaifu dhaifu ?

Inakumbuka mechi na Uganda pale huyu bwana mdogo alitubeba kiasi gani ?

Wakati tunamsifu Kaseja tumpe Heshima yake Aishi Manula
 
Kwani Manula Ameokoa michomo mingapi katika team yetu hii dhaifu dhaifu ?

Inakumbuka mechi na Uganda pale huyu bwana mdogo alitubeba kiasi gani ?

Wakati tunamsifu Kaseja tumpe Heshima yake Aishi Manula

Ni kweli kila mtu na kocha wake,Kaseja mechi na wale AS Kigali alifungwa goli mbili nyepesi sana.Kipa wa Burundi Jonathan Nahimana anamuweka Benchi Kaseja sasa hivi KMC lakini wote wawili juzi walikuwa wanazuia Penati kwenye milingoti.Kaseja akachomoa moja Nahimana akadaka hewa.Kwa hiyo nakubaliana na wewe ni ngumu kusema huyu ni Zaidi ya yule
 
Beno ndio ana kazi kubwa yakufanya apate namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…