Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

Ni simulizi ya Kusikitisha sana na kutia simanzi, usaliti wa Mwanamke kwa mpenzi wake haukuanza leo, huu ni muendelezo tu.

Kubwa ni kuishi nao kwa akili.
Pole sana Sojjah..
 
*_Nawatakia baraka za Bwana huku tukitafakari wa pamoja kisa hiki cha kweli kilichomkuta rafiki yangu huyu ambae kama asingekuwa mwanajeshi, angeshakuwa amelala mauti kwa tamaa ya mkewe_*
Mkuu story hii inasikitisha sana. Mwisho umesema kama jamaa asingekuwa mjeda sasa hivi angekuwa marehemu. Mimi napinga kauli hii. Ukweli ni kuwa Mungu wake hakupanga kumchukua wakati huo. Kuna wajeda wangapi wanakufa tena wakiwa na silaha za moto. Mungu akitaka jambo lake hakuna wa kumpinga.
 
nimeisoma hii story najihisi kama inataka kuninyemelea hiv, Mungu nisamehe nisimharass my wife
 
Mwanamke haingii kwenye mahusiano bila malengo,cha muhimu wanaume chunguza huyo uliye nae analenga nini hasa huwa hawajifichi hata kidogo.
 



Test ya kwanza, chungunza kama huyo Mwanamke ni chadema, akikwambia ni chadema acha kila hapo hapo na sepa!
 
Hakika ndoa inaumiza sana kuna wakati unatamani muachane inashindikana
 
Huyu mke fyatu kweli kweli milioni 6 tu anataka kuua mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…