Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

Mbona Kuna Uzi ulishakuja humu mara mbili hii itakuwa ya tatu sasa. Kama mmekosa Cha kuandika acheni tuchangie thread za zamani zanye tija sio kuleta upuuzi humu.

JF imejaza watoto sana so mwende Facebook au Instagram na Tik Tok mkauze sura huko?
 
Huyo jamaa ana mafunzo makali. Alikuwa amelewa, akaongozewa bia zaidi na mkewe. Halafu akawapiga vijana 4 wenye mapanga na wawili wakapoteza fahamu. Hao vijana inawezekana walikuwa wamelewa zaidi yake.
 
Huyo mwanamke mpuuzi kama wale ambao huwa nawapondaga humu! Kuoa mwanamke ambaye hajui kutoa vyake yeye ni kupokea tu ni matatizo sana.
Mwanamke mchoyo ana roho ya kimaskini sana na mbaya ya ajabu
 
Wanawake w hivi wanakaa mwaka tu hela imeisha, anachofanyiwa hiko mtaani unabaki kuona huruma kama huyu ndio mama wa watoto wangu
 
Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita.

Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani.
Nikataka kujua anaitaka ya nini?
Bila kusitasita, akanijuza kwamba anauza nyumba yake iliyopo maeneo ya Kivule ili wagawane malipo na mkewe!!
Huyo Mwanamke ni wa kabila gani inawezekana Kwa 95% akawa ni mchaga
 
Huyo mwanamke mpuuzi kama wale ambao huwa nawapondaga humu! Kuoa mwanamke ambaye hajui kutoa vyake yeye ni kupokea tu ni matatizo sana.
Mwanamke mchoyo ana roho ya kimaskini sana na mbaya ya ajabu
Inaumiza sana mwanamke kuwa mpokeaji tu
 
Inakera mwanamke yeye kutoa vyake mchoyo ila anajifanya we mwanaume lazma uhudumie hawa ndio ukiwa na mali anakupendea mali na anaweza hata kukuua ili mali zako ziwe zake[emoji28]
Most of women wana mentality za kishamba sana kuwa baba ndy amalize kila kitu kwenye family hata kama uwezo wa kusapoti anao it pains a lot
 
Back
Top Bottom