Story ya msanii ya mwaka 2087 hii hapa

Story ya msanii ya mwaka 2087 hii hapa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga

Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa appoh street bas huyo msanii alikua anagawa tu pesa au akipita mtaan asipokupa hela hasikii hela yaan alikua na hela mpaka anaumwa anashindwa kuzitumia anataka kuzigawa ili zipungue tu

Ugonjwa wake ulikua wanawake nikisema wanawake namaanisha wanawake haswa shepu kama nyumba
Ila kwa sasa msanii huyu anatia huruma ni masikin wa kutupwa pesa zake aliwekeza kwenye anasa na madem mkimuona mtaan msimseme msaidieni
Katika miaka ya 2010 na 2035 ulikua wakat wake ila sasa 2087 umr ushampita kura yake ya tabu magonjwa yanamuandamaa masikini jwtz beki namba mbili wa yanga kutoka ivory cost
 
Back
Top Bottom