Story ya Mwanaume mmoja Hapo Kibaha

Kichapo ulichezea wewe
 
Kuna baba alikuwa anampiga mkewe sasa alikuwepo mdogo wake mke wake (jinsia ke) kavumilia ila uzalendo ukamshinda akaingilia ugomvi, dada (mke) kamuachia ugomvi mdogo ake alipigwa masikini
 
Kuna baba alikuwa anampiga mkewe sasa alikuwepo mdogo wake mke wake (jinsia ke) kavumilia ila uzalendo ukamshinda akaingilia ugomvi, dada (mke) kamuachia ugomvi mdogo ake alipigwa masikini
Aseeeee
Dawa ya ugomvi ushinde
 
Afu anakuambia “Ole wako dada alalamike tena”!
ndo maana mm cjawai kunyanyua mkono wangu kumpiga mwanamke,,akiniudhi sana naingia chumbani,,,najifungia mlango,,,nazima na taa....kisha naangua kilio usiku kucha kisha asbh hasira zangu zinakua zimeisha,,,kuwapiga hawa viumbe saa zingine yataka mioyo,,,wengine wao wenyewe wanapiga balaa....
 
Utakuwa umeolewa ww
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna baba alikuwa anampiga mkewe sasa alikuwepo mdogo wake mke wake (jinsia ke) kavumilia ila uzalendo ukamshinda akaingilia ugomvi, dada (mke) kamuachia ugomvi mdogo ake alipigwa masikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi mpiga mschana once nikiwa mvulana(n she wasn’t even my girl),mpaka leo najisikia vibaya!!
Kuna muda wanaudhi yaani hasira mpaka kooni afu bado wana mdomo,lakini kupiga nilishashindwa aisee.kitu kimoja tu kinaweza fanya nikamtandika...kimoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…