youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,811 Reaction score 3,888 Jun 7, 2025 #1 Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu. Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali) Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu. Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali) Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
Bunda Kwet JF-Expert Member Joined Feb 24, 2025 Posts 274 Reaction score 392 Jun 7, 2025 #2 Na wewe panga lako mkuu
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Jun 7, 2025 #3 Shule zimefungwa mmeanza kutusumbua.