Chase your dreams
Member
- Jul 27, 2024
- 87
- 630
SEHEMU YA KWANZA 1.
(Mimi sio mwandishi mzuri mtaniwia radhi)
Wazazi wangu siwezi kuwaita Masikini ila ni wazazi wenye kipato cha chini. Shughuli zao mpaka Leo ni kilimo na ufugaji wa kawaida.
Licha ya kipato duni wazazi wangu walijitahidi kuwekeza kwenye elimu kwa hakikisha tunapata elimu Bora Ili kujikomboa na hii Hali ya kipato duni.
Tumezaliwa watoto 6 na Mimi ni mtoto wa mwisho.
Mungu si athumani ndungu zangu wapatao watatu waliweza kutimiza ndoto za wazazi wangu kwani walibahatika kusoma na kufaulu na kupata kazi, licha ya ndugu zangu wawili Kati ya watatu kupata kazi.inayodharaulika (walimu) lakini ilikuwa faraja ya kwa wazazi wangu na hata Mimi pia nilijikuta naongeza bidii kwenye masomo yangu Ili niwe kama wao, nilikuwa nahamasika pindi ndugu zangu wanapotuma chochote kitu kwa wazazi wangu na kujisemea kimoyo moyo "one day yes"hata na Mimi siku Moja ntawahudumia wazazi wangu kwa kuwatumia/kuwapa chochote kitu
INAENDELEA..