Story yeyote uliyowahi kusikia kijiweni ukaona ni kamba (uongo)

Story yeyote uliyowahi kusikia kijiweni ukaona ni kamba (uongo)

[emoji1787][emoji1787]Nilisikia story morogoro pale karibu na round about ya stand ya dala dala mjini kuna kijiwe fulanu cha kahawa, jamaa walikuwa wanasimuliana kuwa kuna mwamba upo chini ya mlima inasemekana watu wakiutoboa kidogo tuu Morogoro mjini yoote inajaa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hiyo niliskia ni dodoma. Ndo mwamba ukitobolewa mji unajaa maji
 
Back
Top Bottom